Nini sababu ya mikoa ya Kusini kuwa salama sana kibinadamu?

Unaanzaje kumuonea wivu mwanamke wa kimakonde?
Vifupi, sura imekoma na hawana shepu. Nishafika Mtwara na Lindi
Nyumba za kizamani bora hata Masasi kuna nyumba mpya
Cha kushangaza kutoka Dar mpk Mtwara 23,000
Dar to Lindi 23,000
Dar to Masasi 23,000
Mkuu hizi ni nyodo na shombo za kike ambazo wanapaswa kuwa nazo wanawake.

wanaume hawana tabia kama hizi na hawapanic bali wanajibu hoja kwa hoja na facts kwa facts.
 
Hakuna Cha ustaraabu wala Nini.

Watu wa huko bado wako primitive na hawana exposure.

So matukio yanatoka na hayatangazwi.
Kama matukio yanatokea na hayatangazwi wewe umejuaje kama yanatokea?

I can see you're fighting with your own mind!
 
... sidhani kama ni dini. Maana dini hizo hizo zilizoko kusini ndio hizo hizo zilizoko maeneo mengine ya nchi. Mbona hatusikii mauwaji ya kijnga kama hayo yakitokea Ulaya?
basi tuendelee kuzitafuta mkuu!
 
Mi ni mwenyeji wa Mtwara na ni kweli sijawahi kusikia kwa hayo mengi unayoyasema.

Utotoni kulikua na imani kuwa ili usizae albino unatakiwa kujitemea mate kifuani unapomwona albino yoyote yule ingawa kwa kule wapo wachache sana!
hakuna kiongozi, yaani ni nadra mno!
 
Nazungumzia Lindi na Mtwara haswa!

1. Kule husikii albino amechinjwa

2. Kule husikii wenye macho mekundu wameuawa kisa ni wachawi,

3. Kule husikii wenye upanja wamepigwa nondo ili zikatumike buchani

4. Kule husikii mtu amechunwa ngozi

5. Kule ni nadra kusikia wazazi, sijui mama, kutolewa uhai ili kuleta utajiri

6. Kule ni nadra kusikia makabila au koo wamepigana na kutoana uhai (ingawa kuna makabila mengi tu na yanapishana wakati mwingine),

7. Kule ni nadra kusikia mauaji ya kinyama kwa kisa cha mapenzi au kudaiana fedha

8. Kule ni nadra kusikia babu sijui mjomba amembaka mjuu/mpwa,

9. Kule ni nadra kusikia visa vya mabinti kutupa watoto chooni,

10. kule ni nadra kusikia binadamu ananyofolewa viungo ili vikauzwe vilete utajiri

11. Kule ni kawaida mgeni ukapokelewa na kuishi kama wananchi wengine bila wasiwasi n.k.

Wakati hali ikiwa hivyo, maeneo mengine kuna utofuti sana.

-Mauaji. JF kwa siku karibia nne au tano leo zimejaa thread za mauaji tu kwa visa vya mapenzi n.k. kisa cha hivi karibuni kuripotiwa ni hicho kilichotokea Tabora

-Ubakaji

-Utupaji wa watoto

-Ushirikina, kuna maeneo wazee eti wanakaa kabisa na kufanya tambiko ambapo mgeni anauawa kama kafara (mwalimu mmoja wa sekondari alikutana na dhahama hii sehemu fulani, alifuatwa akauawa na mwili wake kuchukuliwa kwenda kufanyiwa tambiko). pia, maeneo mengine tunaona na kusikia jinsi makaburi yanavyoenda kufukuliwa na maiti kutolewa na kurudishwa ilikotoka.....wafiwa wanaamka asubuhi wanakuta wamewekewa maiti ya ndugu yao waliomzika jana uwanjani.

na vingine vingi

Wajuzi/wafuatiliaji/ wasomi; sababu kubwa haswa ya hali hii ni nini? dini au?

Karibuni kwa uelimishaji.
Mwaka juzi Magufuli walimtengenezea moshi ambao hata haujulikani umetokea wapi
 
Huko hakuna cha ustaarabu wala nini ukimuibia au kudhulumu mtu mahakama ni kilinge,utarogwa wewe na ukoo wako asibakie mtu,so watu wanaogopana,kuna vijiji ukienda na gari bila kuripoti kwa vizee fulani gari inazima yenyewe,au umpe binti mimba ukatae itaamia kwako
kiongozi hizi ni stori za miaka ya 70 hizi; bila shaka umesimuliwa!
 
Kuna watu hawa ni warefu ila ni wakazi na wazawa wa Masasi, si Wamakonde ila jina limenitoka, ni wasomi na ndio wanaoupaisha mkoa wa Mtwara. Sio wafupi kama Wamakonde, na wana sura ndefu na weusi chini ya macho. Kabila lake na Mkapa sijui akina nani. Wengi wapo kama Wamasai kwa sura na mionekano.

Sent using Jamii Forums mobile app
Wamwera
 
Hiyo ndo point. Hakuna pilika za pesa ndio maana pako hivyo ywani ni full umaskini.
Pili usambaaji wa taarifa na huduma za jamii mikoa hii bado ni shida sana
imenibidi nicheke tu kwanza!
wilaya iliyo mbali kuliko zote na inayosemekana ipo porini ni liwale. nilifika huko liwale ndani kabisa katika kuhangaika na maisha na nimekuta vijana kwa wazee wana masmart phones kama kawaida. unazungumzia umaskini, safi kabisa....hivi uko wapi mkuu?!!! singida au simiyu? kigoma au tabora?
wekeni usharobaro, ulimbukeni na ujivuni pembeni tuchambue mambo kigreat thinkers!!
 
Back
Top Bottom