Nini sababu ya kumchoka mwanamke haraka?

Nini sababu ya kumchoka mwanamke haraka?

Tehetehetehe sina kibamia, ila nina upungufu wa nguvu za kiume na kanivumilia
Vyote sawa ukiwa huna nguvu za kiume na mwenye kibamia hakuna tofauti.

Asante kwa kutujibu kumbe ndo maana hudumu kwenye mshusiano.wewe ni mwanaume wa dar
Unajishuku kuwa huwezi ndo maana ya kutodumu kwa mahusiano yako akuuuu mwache mtoto wa watu usimpotezee bahati
 
Mahusiano unayoyaanzisha yana lengo gani kwako? Ukituambia huwa kwann unaanzisha mahusiano twaweza kuwa na majibu. Sababu kwanza ya kuanzisha mahusiano, je ni mahusiano tuu ya kingono? Mahusiano ya kawaida ya galfrind n boy frnd bila kuhusianisha ngono? Au ni mahusiano yenye dhana ya mtu kuwa mke wako kabisa? Una miaka mingapi kwa sasa na una kazi au bado unatafuta? Upo shulen au umemaliza shule? Ukijibu haya utapata ushaur mzuri sana.

Post sent using JamiiForums mobile app
Naanzisha mahusiano ili kupunguza genye. Umri miaka 23, sina kazi bado niko chuo, sijaanza kujitegemea bado niko kwa wazazi
 
Vyote sawa ukiwa huna nguvu za kiume na mwenye kibamia hakuna tofauti.

Asante kwa kutujibu kumbe ndo maana hudumu kwenye mshusiano.wewe ni mwanaume wa dar
Unajishuku kuwa huwezi ndo maana ya kutodumu kwa mahusiano yako akuuuu mwache mtoto wa watu usimpotezee bahati
Yeah kweli mimi ni mwanaume wa dar, wala sijishuku inatokea tu automatically
 
Habari za wakati huu bosses!

Ngoja niende straight to the point.

Mimi nina ugonjwa wa kuanzisha uhusiano na msichana lakini baada ya Muda namchoka. Kama sasa hivi nina mpenzi ambae kiukweli anadai ananipenda, na ninaona kwa vitendo kwani sijawahi hata kumhisi kama ananicheat, achilia mbali kushuhudia. Lakini nimeanza kumchoka na kumfanyia visa ili aniache kama kutomjali, akiniomba viela vya hapa na pale namnyima, simu simpigii mpaka apige yeye na sometimes sipokei, licha ya kwamba mwanzoni nilipanga kumuoa.

Lakini naona nikimuoa nitaenda kumtesa bure tu, kwani nimeanza kumtoa kasoro za hapa na pale, ukizingatia yeye ni mkubwa kwangu miaka 2 hiyo nayo naona ni sababu moja wapo wa kumuacha.

Wakuu hebu nipeni mbinu mnazotumia mpaka mnadumu kwenye mahusiano na mwanamke mmoja Muda mrefu bila kumchoka.

Huu ugonjwa unanitesa viongozi fanyeni kweli kwenye ushauri, maana huku hakiaribiki kitu.
Duu hiyo filamu kama mm ndo steringi maana ni mulemule
Lakini chanzo cha kumchoka mwanamke ni kufanya kwichikwichi Mara nyingi sasa kwa kale kahalufu mahaba itokayo ktk Uke inakufanya uwe ktk hali ya ukinai kisha unajikuta umemchoka huyo mwanamke

Sent from my itel it1556 Plus using JamiiForums mobile app
 
Mzee kikubwa unakuwa na uhitaji wa Uchi tu Ukishaupata basii.

Mimi ninatatizo kila mtu ninayefahamiana naye hapa JF tukishajuana japo kidogo namchoka, mawasiliano yanapungua.
doh kiboko
 
Kukufanya ww ndio mama n baba yake kwa KUOMBA PESA za OVYO TU
 
Mzee kikubwa unakuwa na uhitaji wa Uchi tu Ukishaupata basii.

Mimi ninatatizo kila mtu ninayefahamiana naye hapa JF tukishajuana japo kidogo namchoka, mawasiliano yanapungua.
Mungu anakuona dby

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Mkuu what goes around comes around. Unachowafanyoa watt wa watu leo, vivyo hivyo na wanao watafanyiwa hivyo hivyo. Usicheze na hisia za mtu. Kama humtaki ni bora kumwambia utamsaidia.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwani marafiki na majirani na watu wengine unawachoka pia?
Kama jibu ni NO basi unapo vutiwa na mwanamke kabla yakuingia nae kwenye mahusiano jiulize unataka nini kwake tofauti na kuingiliana
Itabidi niwe nafanya hivyo
 
Back
Top Bottom