Bibie hujui tubaongelea nn mara hii?!upande gan
Bibie hujui tubaongelea nn mara hii?!
Mungu atakuadhibu wewe shauri yako, nakuona ni mzee wa kufunua tuuHabari za wakati huu bosses!
Ngoja niende straight to the point.
Mimi nina ugonjwa wa kuanzisha uhusiano na msichana lakini baada ya Muda namchoka. Kama sasa hivi nina mpenzi ambae kiukweli anadai ananipenda, na ninaona kwa vitendo kwani sijawahi hata kumhisi kama ananicheat, achilia mbali kushuhudia. Lakini nimeanza kumchoka na kumfanyia visa ili aniache kama kutomjali, akiniomba viela vya hapa na pale namnyima, simu simpigii mpaka apige yeye na sometimes sipokei, licha ya kwamba mwanzoni nilipanga kumuoa.
Lakini naona nikimuoa nitaenda kumtesa bure tu, kwani nimeanza kumtoa kasoro za hapa na pale, ukizingatia yeye ni mkubwa kwangu miaka 2 hiyo nayo naona ni sababu moja wapo wa kumuacha.
Wakuu hebu nipeni mbinu mnazotumia mpaka mnadumu kwenye mahusiano na mwanamke mmoja Muda mrefu bila kumchoka.
Huu ugonjwa unanitesa viongozi fanyeni kweli kwenye ushauri, maana huku hakiaribiki kitu.
Umewahi kuchepuka hata mara 1?!huko mi mgen ndo nafika leo mkuu!
Umewahi kuchepuka hata mara 1?!
Kabsa hujakosea mkuu lazma litolewe, km n mkristo tafuta watumishi wa Mungu wakuombee haraka sn.Unajini mahaba ww kamtoe huyo
hapana ! tuliambiwa kwa shida na raha mkuu! wewe mwenzangu je?nippe uzoefu mkuu wangu!faida na hasara zake
Mbona km sikuamini kbs
Ndo mana kumbe!!Mzee kikubwa unakuwa na uhitaji wa Uchi tu Ukishaupata basii.
Mimi ninatatizo kila mtu ninayefahamiana naye hapa JF tukishajuana japo kidogo namchoka, mawasiliano yanapungua.
hahaha pole sana! yy ananiamini hyo inatoshaaaaaaa! kwann huniamin sasa nna hunifaham!kha!
Bado hujampata anae kufaa piga chini tafuta mwingine,au njoo ludewa wanawake wa huku wanaroga wanaume wanatulia tu tuliiiiiiHabari za wakati huu bosses!
Ngoja niende straight to the point.
Mimi nina ugonjwa wa kuanzisha uhusiano na msichana lakini baada ya Muda namchoka. Kama sasa hivi nina mpenzi ambae kiukweli anadai ananipenda, na ninaona kwa vitendo kwani sijawahi hata kumhisi kama ananicheat, achilia mbali kushuhudia. Lakini nimeanza kumchoka na kumfanyia visa ili aniache kama kutomjali, akiniomba viela vya hapa na pale namnyima, simu simpigii mpaka apige yeye na sometimes sipokei, licha ya kwamba mwanzoni nilipanga kumuoa.
Lakini naona nikimuoa nitaenda kumtesa bure tu, kwani nimeanza kumtoa kasoro za hapa na pale, ukizingatia yeye ni mkubwa kwangu miaka 2 hiyo nayo naona ni sababu moja wapo wa kumuacha.
Wakuu hebu nipeni mbinu mnazotumia mpaka mnadumu kwenye mahusiano na mwanamke mmoja Muda mrefu bila kumchoka.
Huu ugonjwa unanitesa viongozi fanyeni kweli kwenye ushauri, maana huku hakiaribiki kitu.
huhu!pole
Habari za wakati huu bosses!

Naona tu sku iz, bzKumbe nini jirani?![]()