- Thread starter
- #21
Kiukweli boss, mimi lengo langu lilikua kupunguza ashki, sasa baada ya kuingia kwenye uhusiano kumbe yeye alikua serious, kwa hiyo kila alichokua ananiambia mimi nakubali tu sawa, hata swala la umri alishaniuliza nikamwambia haina shida hiyo. Mwanzoni nilikua nimeridhika nae tu, ila nashangaa sasa hivi namchokaOK tufanye ivi ,kwan mahusiano mlonayo nimlikua ili badae muoane au ni kupunguzana ashiki ???
Jibu .
N.b ,,mschana anakupenda kutokana na maelezo yako .
Post sent using JamiiForums mobile app