Nini sababu ya kumchoka mwanamke haraka?

Nini sababu ya kumchoka mwanamke haraka?

Masikini kasoro umeanza kuziona sasa hivi? Ukute una kibamia kakuvumilia hivyo hivyo leo umemchoka. Mwache tu kuna siku utamkumbuka wewe ulishakuwa makinikia ya 0.0gm
Tehetehetehe sina kibamia, ila nina upungufu wa nguvu za kiume na kanivumilia
 
Mungu atakuadhibu wewe shauri yako, nakuona ni mzee wa kufunua tuu
Lakini jiangalie sana machozi ya hao wanawake yatakutesa sana ni kama unajitafutia mikosi kwa nguvu zote.
Achana na hiyo tabia kabisa.
Sawa mama a, ila wanawake mnateteana sana ase
 
Endelea kuchezea papuchi za wadada wasio na hatia ipo siku na ww utalizwa
 
Bado hujampata anae kufaa piga chini tafuta mwingine,au njoo ludewa wanawake wa huku wanaroga wanaume wanatulia tu tuliiiiii

Post sent using JamiiForums mobile app
Daaa huko kutanifaa kabisa, natamani kutulia kabisa
 
Habari za wakati huu bosses!

Ngoja niende straight to the point.

Mimi nina ugonjwa wa kuanzisha uhusiano na msichana lakini baada ya Muda namchoka. Kama sasa hivi nina mpenzi ambae kiukweli anadai ananipenda, na ninaona kwa vitendo kwani sijawahi hata kumhisi kama ananicheat, achilia mbali kushuhudia. Lakini nimeanza kumchoka na kumfanyia visa ili aniache kama kutomjali, akiniomba viela vya hapa na pale namnyima, simu simpigii mpaka apige yeye na sometimes sipokei, licha ya kwamba mwanzoni nilipanga kumuoa.

Lakini naona nikimuoa nitaenda kumtesa bure tu, kwani nimeanza kumtoa kasoro za hapa na pale, ukizingatia yeye ni mkubwa kwangu miaka 2 hiyo nayo naona ni sababu moja wapo wa kumuacha.

Wakuu hebu nipeni mbinu mnazotumia mpaka mnadumu kwenye mahusiano na mwanamke mmoja Muda mrefu bila kumchoka.

Huu ugonjwa unanitesa viongozi fanyeni kweli kwenye ushauri, maana huku hakiaribiki kitu.
Ototo ndo @atoto??
 
Mahusiano unayoyaanzisha yana lengo gani kwako? Ukituambia huwa kwann unaanzisha mahusiano twaweza kuwa na majibu. Sababu kwanza ya kuanzisha mahusiano, je ni mahusiano tuu ya kingono? Mahusiano ya kawaida ya galfrind n boy frnd bila kuhusianisha ngono? Au ni mahusiano yenye dhana ya mtu kuwa mke wako kabisa? Una miaka mingapi kwa sasa na una kazi au bado unatafuta? Upo shulen au umemaliza shule? Ukijibu haya utapata ushaur mzuri sana.

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Mzee kikubwa unakuwa na uhitaji wa Uchi tu Ukishaupata basii.

Mimi ninatatizo kila mtu ninayefahamiana naye hapa JF tukishajuana japo kidogo namchoka, mawasiliano yanapungua.
Unavochoka uchi ushapata au msg tu zimekuchosha
 
Nahisi kubwa kuliko yote nafsi, roho, mwili na akili yako bado havijawa na muunganiko wa mmoja atakayekuwa common kwenye hivyo vyote, kama nafsi, mwili, roho na akili vikikubaliana katika mtu mmoja hakika huo msamiati wako wa "kumchoka" utafutika wenyewe kwenye akili yako na utatamani kila siku isimame... ukitumia kimoja wapo kati ya hivyo mfano "moyo" peke yake, basi nafsi, akili na mwili vitakuambia kasoro nyiiingi na utaanza kumchoka mtu.

Ndio maana wahenga wanasemaga inabidi tuhusishe sana maombi kwa imani zetu katika kutafuta mwenza wa kuanzisha nae familia au kuanza nae maisha ya ndoa sababu hiyo "kemia" inayoatakiwa katika kufanya nafsi, mwili, roho na akili viwe na sauti moja ni zaidi ya PHD ya maganda ya korosho mkuu..
 
Back
Top Bottom