Nini sababu ya kumchoka mwanamke haraka?

Ototo

JF-Expert Member
Joined
Jun 26, 2016
Posts
1,260
Reaction score
1,167
Habari za wakati huu bosses!

Ngoja niende straight to the point.

Mimi nina ugonjwa wa kuanzisha uhusiano na msichana lakini baada ya Muda namchoka. Kama sasa hivi nina mpenzi ambae kiukweli anadai ananipenda, na ninaona kwa vitendo kwani sijawahi hata kumhisi kama ananicheat, achilia mbali kushuhudia. Lakini nimeanza kumchoka na kumfanyia visa ili aniache kama kutomjali, akiniomba viela vya hapa na pale namnyima, simu simpigii mpaka apige yeye na sometimes sipokei, licha ya kwamba mwanzoni nilipanga kumuoa.

Lakini naona nikimuoa nitaenda kumtesa bure tu, kwani nimeanza kumtoa kasoro za hapa na pale, ukizingatia yeye ni mkubwa kwangu miaka 2 hiyo nayo naona ni sababu moja wapo wa kumuacha.

Wakuu hebu nipeni mbinu mnazotumia mpaka mnadumu kwenye mahusiano na mwanamke mmoja Muda mrefu bila kumchoka.

Huu ugonjwa unanitesa viongozi fanyeni kweli kwenye ushauri, maana huku hakiaribiki kitu.
 
Mzee kikubwa unakuwa na uhitaji wa Uchi tu Ukishaupata basii.

Mimi ninatatizo kila mtu ninayefahamiana naye hapa JF tukishajuana japo kidogo namchoka, mawasiliano yanapungua.
 
DE6mWvvXoAAv9Gh.jpg
DE6mWvvXoAAv9Gh.jpg
 
Wewe unataka namba tu sio?? Hebu kwanza nipange utamwingia na gia gani, usije ukachanganya mafile
Yaaan hilo mkuu uniachie Mimi mwenyewe ,,,

Nachoenda kufanya nikutumia Visa na changamoto unazompa ,nitazigeuza kua fursa kwangu ,,nitampgia kika Mara ,,nitamjali , I will give her my constant support ,,encourage her ,, hold her in my arms ,,, although nitakus mbali naye ,,, Badiliko lakwanza utakaloliona Nayeye ataanza kuku dharau ,kupunguza huduma anazokupa no call ..no meseji ..no nn ,,,, hapo ndo utajifunza Kosa gan baya alolifanys Adam namwisho Eva akafanya dhambi !!...

Ukiwa mbali kiroho ,kimwili ,,na kijeografia na mwanamke wako know that usipotumia akili atabebwa tuu aiseee .

Hawa viumbe kila siku nasema wanajua kupenda lkn wanapobadilika unaweza usiamini kama niyeye ambaye alikua hapitishi hats sikunde bila kukutafuta

Kama unadhan anataka Vijiela vyako Basi faham kua moyo wake nimdogo San.

N.B .ACHA HIZO MKUU NAOMBA MPENDE HUYO MWANAMKE AISEE WALA USIMUACHE KABISA ,,SITANII ,,,UMPENDE KWELI KWELI KINYUME NAHAPO SIKU MOJA UTAMKUMBUKA TUUU NO WAY OUT.
 
Mzee kikubwa unakuwa na uhitaji wa Uchi tu Ukishaupata basii.

Mimi ninatatizo kila mtu ninayefahamiana naye hapa JF tukishajuana japo kidogo namchoka, mawasiliano yanapungua.
Mkuu sijui tufanyaje ili hii tabia iishe. Wanaume tuna taabu ase
 
Yaaan hilo mkuu uniachie Mimi mwenyewe ,,,

Nachoenda kufanya nikutumia Visa na changamoto unazompa ,nitazigeuza kua fursa kwangu ,,nitampgia kika Mara ,,nitamjali , I will give her my constant support ,,encourage her ,, hold her in my arms ,,, although nitakus mbali naye ,,, Badiliko lakwanza utakaloliona Nayeye ataanza kuku dharau ,kupunguza huduma anazokupa no call ..no meseji ..no nn ,,,, hapo ndo utajifunza Kosa gan baya alolifanys Adam namwisho Eva akafanya dhambi !!...

Ukiwa mbali kiroho ,kimwili ,,na kijeografia na mwanamke wako know that usipotumia akili atabebwa tuu aiseee .

Hawa viumbe kila siku nasema wanajua kupenda lkn wanapobadilika unaweza usiamini kama niyeye ambaye alikua hapitishi hats sikunde bila kukutafuta

N.B .ACHA MPENDE HUYO MWANAMKE AISEE WALA USIMUACHE KABISA ,,SITANII ,,,UMPENDE KWELI KWELI KINYUME NAHAPO SIKU MOJA UTAMKUMBUKA TUUU NO WAY OUT.
Umeandika mulemule.........sasa mtoa mada mwache ajifanye ana vibwengo ataangukia pabaya hatosahau maishani mwake

Sent from my H8501 using JamiiForums mobile app
 
Uo ugonjwa mimi nautamani unipate nashindwa. . Furaia uo ugonjwa kijana
Wanawake wenyewe hawaeleweki bora uendelee kuwachoka tuu
Usiombe wakuchoke ww utaisi dunia imekua Trapeza sio duala tena

Sent from my TECNO-N8 using JamiiForums mobile app

hahahaha nimecheka kwa ngv! hahahaa kweli kbs mkuu mwanamke akimchika mwanamume jaman ni shida!hhuhu!eti trapeza!
 
Yaaan hilo mkuu uniachie Mimi mwenyewe ,,,

Nachoenda kufanya nikutumia Visa na changamoto unazompa ,nitazigeuza kua fursa kwangu ,,nitampgia kika Mara ,,nitamjali , I will give her my constant support ,,encourage her ,, hold her in my arms ,,, although nitakus mbali naye ,,, Badiliko lakwanza utakaloliona Nayeye ataanza kuku dharau ,kupunguza huduma anazokupa no call ..no meseji ..no nn ,,,, hapo ndo utajifunza Kosa gan baya alolifanys Adam namwisho Eva akafanya dhambi !!...

Ukiwa mbali kiroho ,kimwili ,,na kijeografia na mwanamke wako know that usipotumia akili atabebwa tuu aiseee .

Hawa viumbe kila siku nasema wanajua kupenda lkn wanapobadilika unaweza usiamini kama niyeye ambaye alikua hapitishi hats sikunde bila kukutafuta

Kama unadhan anataka Vijiela vyako Basi faham kua moyo wake nimdogo San.

N.B .ACHA HIZO MKUU NAOMBA MPENDE HUYO MWANAMKE AISEE WALA USIMUACHE KABISA ,,SITANII ,,,UMPENDE KWELI KWELI KINYUME NAHAPO SIKU MOJA UTAMKUMBUKA TUUU NO WAY OUT.
Mimi namuonea huruma ase, ila feeling nae Ndio sina hapa nimekuja kuomba ushauri nifanye nini ili nisimchoke? Yaani sitaki aumie kwa ajili yangu
 
tamaa ndo inakuponza.....hujui unachotaka......jaribu kutulia utaona jinsi alivyo na mahaba.....
Nitulie kivipi mkuu? Wewe hujui mwanamke ambae hujamtoa bikra ni mke wa mtu huyo! Alafu isitoshe wakati namuaproach mara ya kwanza, aliniambia ameshawahi kutendwa na bwana ake aliyemtoa bikra hivyo hawezi penda tena, mimi nikamwambia poa Lakin baadae akaanza kujileta mwenyewe, sasa inaonekana siku bwana ake akimtaka achomoi
 
Mimi namuonea huruma ase, ila feeling nae Ndio sina hapa nimekuja kuomba ushauri nifanye nini ili nisimchoke? Yaani sitaki aumie kwa ajili yangu
OK tufanye ivi ,kwan mahusiano mlonayo nimlikua ili badae muoane au ni kupunguzana ashiki ???

Jibu .

N.b ,,mschana anakupenda kutokana na maelezo yako .
 
Nitulie kivipi mkuu? Wewe hujui mwanamke ambae hujamtoa bikra ni mke wa mtu huyo! Alafu isitoshe wakati namuaproach mara ya kwanza, aliniambia ameshawahi kutendwa na bwana ake aliyemtoa bikra hivyo hawezi penda tena, mimi nikamwambia poa Lakin baadae akaanza kujileta mwenyewe, sasa inaonekana siku bwana ake akimtaka achomoi
kwa hiyo unatafuta bikira.....endelea utaipata tuuu.....unafikiria kutoa bikira ni kazi rahisi eeeehh....songa mbele...
 
Back
Top Bottom