Nini madhara ya kula na kuliwa tigo?

Nini madhara ya kula na kuliwa tigo?

unfortunately, haujui kama unayeongea naye ni doctor anayeshinda na wagonjwa kila siku, au ni mganga wa kienyeji kama wewe...so, tuachane na hili...waache wanawake waje wathibitishe, tukiongea sisi wanaume unaweza usiamini kwasababu unachokijua ni theory ulizosoma kwenye vitabu na si kushuhudia kwa macho.....labda kama na wewe ni doctor, na kama wewe ni doctor how come katika udaktari wako umewaona 20 tu? ndo maana nikakwambia mimi nimewaona wengi kuliko hao unaowataja hapo, kwahiyo nyamaza kimya kwasababu una lack knowledge.

Ukiwa nyuma ya keyboard, unaweza kudai kuwa wewe ni fulani, una ujuzi fulani, hakuna atakayethibitisha, mimi kuwa mganga wa kienyeji na wewe kuwa doctor ni wewe unayesema, ila ukweli utabakia palepale, kuwa unacho kizungumza ni stories za mitaani na hazina ukweli wowote ule....!

Rudia maelezo yako uko nyuma utaona jinsi unavyo jichanganya kwenye maelezo yako.... Alafu unajiita wewe ni doctor...!?
 
Ndugu,anachokiongeza mkubwa ni kweli..
Huwezi make conclusion kwa only 20 cases,I have massive evidences of that cuz nimeattend women who were in labour hundreds and the scenario iko common sana na wala sio lazima wawe wametumia mtandao wa 071/065..
mweleweshe huyo jamaa....anafikiri anajua kitu kumbe hajui....mke wake hakumwambia alichokifanya labour.
 
#EatThePoopoo!
E105.png
(google it)
 
Ewe mungu mnusuru mja wako na wale wanaopenda mchezo huo uwaondolee hamu ili waache. Ndugu yangu kwenye sinema huwa wanakata na kuhariri, hawaonyeshi uchafu hata siku moja. Kungekuwa na behind the scene ungeelewa. Mungu tuepushe na hayo.
 

Ukiwa nyuma ya keyboard, unaweza kudai kuwa wewe ni fulani, una ujuzi fulani, hakuna atakayethibitisha, mimi kuwa mganga wa kienyeji na wewe kuwa doctor ni wewe unayesema, ila ukweli utabakia palepale, kuwa unacho kizungumza ni stories za mitaani na hazina ukweli wowote ule....!

Rudia maelezo yako uko nyuma utaona jinsi unavyo jichanganya kwenye maelezo yako.... Alafu unajiita wewe ni doctor...!?
Huwa wanatoa kinyesi ni kawaida hiyo jamani tunaita first twin sio lazima awe ameliwa Tigo unajua kuwa rectum na vagina viko karibu sana na vinatenganishwa na membrane dogo sana ukitaka kuamani ni yule mama aliyepata tear ambayo ni degree ya NNE ndio utajua kuwa rectum na vagina ziko karibu sana just membrane ndiyo inayotofautisha membrane kuhusu tigo jamani kwa mwanaumme urethra itabrock na anal spincter zitarekax kwa mwanamke ajiandae na complication wakati wa kujifungua pia rectum inavibacteria vingi ukitoa mdomo kwahiyo risk ya magonjwa ni kubwa sana kutokea kwenye rectum na anus
 
Ndio maana nikakwambia kuwa hujawai kuingia maternity ward, unacho kizungumza ni stories za mtaani tu, alafu angalia jinsi unavyo jichanganya sasa, mara wanawake wote, mara wale wa ulaya wanakula vyakula laini, wa Aga Khan wanapata special care, kuwa na msimamo, kama ni wanawake wote basi simamia hoja yako, kama unagawa mafungu, basi tufahamishe wapi na wapi...!

Ila kiukweli ni kuwa ukiona mwanamke anatoa kinyesi wakati wa kujifungua basi ujuwe huyo ana matatizo yake, maana si jambo la kawaida.
Sio kweli kama anamatatizo ni jambo la kawaida
 
Mwanamke kutoa kinyesi wakati wa kujifungua ni kawaida,,, hata Kwa wanyama, Kama Ng'ombe,Mbuzi sometime wakati wa kuzaa Huwa wanatoa kinyesi,,,je na Jao wanyama wanatumia Tigo??,,, KAMA UNA AKILI UTAELEWA
 
kutoa kinyesi si ajabu kwenye kuzaa, WANAWAKE WOTE WANAOENDA LEBA HUWA WANATOA KINYESI KWANZA KABLA YA MTOTO. ndio maana ni lazima tuwaheshimu sana wanawake. kwa kifupi ni kwamba, mtoto anapotoka anabana utumbo mkubwa halafu anakamua kinyesi chote kinatoka, kikiisha ndo yeye anatoka...uliza madaktari...ukienda labour, ukisikia mama anasema "nesi nataka kwenye chooni"nesi anamwambia.. "" K.UNYA HAPOHAPO" nitazoa...ujue amejua kuwa mtoto sasa anakaribia.....wanaume wengi hatujui, ila wanawake tu ndo wanajua hili na huwa wanaweka siri...mamamkwe pia au ndugu yako yeyote aliyeenda na mkeo leba wakimaliza lazima atapewa vitenge vya kufua, mle kwenye vitenga mmejaa mav.i....hakuna mwanamke anayeenda leba asinye mavi....uliza wao watakwambia.

MADHARA YA TIGO, ni kwamba, mwanamke akienda leba, akitaka kusukuma mtoto, break za tigo zinakuwa zimelegea hivyo zinatoa hewa ovyo na pumzi badala ya kubanwa inatokea tigo tu na mtoto anashindikana kusukumwa, matokeo yake wanaweza kuingiza kwenye tigo vitenge hata viwili vitatu ili kuzima tigo na uwezo wa kusukuma mtoto upatikane....tigo pia inaziba mirija ya uzazi ya mwanaume kwa chembechembe za m.avi.....tigo ni mbaya sana....sijawahi kula tigo na sitakuja kufanya dhambi hiyo.
Ni kweli huwa wanajifungua kwa tabu na mara zote tu hujikuta wakijisaidia haja kubwa wakati wa kujifungua haiwagia rahisi labda kwa operation. Tuwapende na kuwaheshimu mama zetu na wanawake kwa ujumla, hope nao watafanya hivyo kwao na kwa watoto wao.
 
Back
Top Bottom