Wakuu Kuna hili swala Nimekuwa nikilisikia mara kwa mara na watu wanasema ukemee hilo swala la kuota unafanya mapenzi sababu unafanya mapenzi na wàchawi
Ila Mimi sikua nakemea sababu sioni kama ni sahihi Kila mtu anatafsiri yake ya ndoto
Mfano redioni siku hizi hata station kubwa hapa bongo ikifika usiku around sa tatu Kuna vipindi vya Hawa wanajiita watumishi wanaigiza kuwa wanapigiwa simu ndo huwa wanasema kuota hivo ni vibaya mara sijui wanasema Unafungwa kwenye ulimwengu wa Giza mbegu zako zinaenda kuzimu
Ila Kuna vitu ni vya kawaida mfano Nina upwiru pia nilikuwa nachat na pisi usiku about sex afu niote uniambie et nimefanya mapenzi na majini is it right? NA stimu zangu zikiisha mbona sioti ..make ni swala la kibalojia ambapo may be ukiwa na upwiru unaweza ota unafanya hvyo