ShesRise_1
JF-Expert Member
- Aug 21, 2025
- 16,993
- 40,149
HakunaaaaaaaaaaaaEeh! Ni yeye. 😊
Ushindweeeeeeeeeeee
HakunaaaaaaaaaaaaEeh! Ni yeye. 😊
Safii🤗Haya sawa! 😊
Wifi tena.!Kuita shemeji au wifi, siwezi, huwa naita "baba fulani" au "mama fulani" km hana mtoto ntamuita kwa jina lake, regardless amenizidi umri.
Eeeh ndiyo wee huna mawifi? 😂😂😂Wifi tena.!
Baba unamuita father.!. Mimi utotoni kaka na dada nilikua nawaita kaka au dada na majina yao mfano kaka anaitwa pasco nitamuita kaka pasco. Dada anaitwa Eliza nitamuita dada eliza.Kumuita mtu kama baba, kaka,dada,shemeji hua napata sana mtihani naona majina hayo yamekaa kitwana sana yaani inabidi ujishushe ili kuita (hua naita father,broo,sister,dogo wangu,shem pia napata shida sana kumuita mjomba anko,shangaz anti naona imekaa kichoko sana majina ayo)
Sasa mwanaume anakuaje na wifiEeeh ndiyo wee huna mawifi? 😂😂😂
Maana yake ni shemu darlingWengine sijui ndio umri au vipi, hizi lugha za mtaani zinaanza kutupita sasa.
Rafiki wa girlfriend au mkeo akikuita shem darling anamaanisha nini.
Hii shem darling ni jina, utani au code?
Huo ni umalaya na ufuska uliovikwa koti la ushemeji uliojaa usalitiWengine sijui ndio umri au vipi, hizi lugha za mtaani zinaanza kutupita sasa.
Rafiki wa girlfriend au mkeo akikuita shem darling anamaanisha nini.
Hii shem darling ni jina, utani au code?
Yaan shem darling wako unamuita kaka?? Unataka kumnyima niniVyote kwa pamoja.
Kitu ambacho nimeshindwa nikumuita mume wa dada yangu "shemeji"
Namwita "kaka"
Tutake radhi ndugu mshana.Huo ni umalaya na ufuska uliovikwa koti la ushemeji uliojaa usaliti
😆😆😆Shem Darling anajitokeza pale ambapo penzi linayumba yumba mahali.
Unakuwa kama kipozeo fulani hivi 😜
Wadada wengi wana tabia ya kutaka kukwapua boyfriends wa rafiki zao sijui kwanini..Ila we jamaa sijui umewaza nini😅
But mimi hua naona tu neno Shem limekaa kimchongo mchongo
Kama ni shemeji basi iwe shemeji
Aloooo sikujua kumbe wengi wapo hivi nilidhani ni wachache tuWadada wengi wana tabia ya kutaka kukwapua boyfriends wa rafiki zao sijui kwanini..
Unakuta alikua anakufahamu, ila alikua hana mazoea na wewe, ila ukishaanza date na rafiki yake anaanza kukupa attention yenye maana ya yeye kujilengesha kimapenzi.. mwanaume usipokua na msimamo unaharibu ephen_ ShesRise_1 realMamy Shadeeya