de Gunner
JF-Expert Member
- Nov 2, 2021
- 10,083
- 20,032
Ni sooUnakuwa unajua kabisa rafiki Yako hapendwi š
Ila sometimes huwa inakuwa matani ambayo hugeuka kuwe kweli
Ni sooUnakuwa unajua kabisa rafiki Yako hapendwi š
Ulikula mchana lakini?Naomba uje unione.
Nina jambo zuri la kukwambia jion hii kabla sijaingia lindoni.
Shida mashemeji wanakuaga wazuri kuliko mhusika Mkuu š š š šNi soo
Ila sometimes huwa inakuwa matani ambayo hugeuka kuwe kweli
Hapana, ni ile dhana tu nataka nimwonje kaka mtu.Shida mashemeji wanakuaga wazuri kuliko mhusika Mkuu š š š š
Sasa huku chitchat nikikuita shem nayo hutaki lol šSiasa nakuachia wewe! Its boring.
Wewe tukutane Chitchat. š
Nipo kwenye mfungo maalumuUlikula mchana lakini?
SafiiNipo kwenye mfungo maalumu
Mhusika Mkuu Jua la Jioni.Hapana, ni ile dhana tu nataka nimwonje kaka mtu.
Wapuuzi sana nyie
Hakuna kitu tena mashem huwa wanakuwa wapole sio waongeaji ni nyie na tamaa zenu tu. Yaani hata kama ni mwongeaji hawezi kabisa kuzidisha Sehem anayo jua bro anakulaMhusika Mkuu Jua la Jioni.
Anakuwa hana swaga š
JidanganyeniUshemeji unakujaje wakati, mimi na Mshana tuna posa hako mkononi!. š
Jidanganyeni
Mnaona nafanania mtu anaetaka ndoaš š
Kwa kweli sitakišKama hutaki tuambie kabisa, tusipoteze muda!
Kwa kweli sitakiš
Fire š„ š¤Sawa. š
Fire š„ š¤
Hahaahaa ngoja tumsubirie.š¤£š¤£š¤£ ngoja nikuitie huyu jirani yangu sumbai huwa anapenda sana kulitumia hili neno Shem darling humu jeiefu.
Kijana mwenyewe yupiSiku ukibadiri mawazo, ukataka ushirika we niambie, tunaleta mzigo wa kijana. š