Nini maana ya shemu darling?

Nini maana ya shemu darling?

Wadada wengi wana tabia ya kutaka kukwapua boyfriends wa rafiki zao sijui kwanini..

Unakuta alikua anakufahamu, ila alikua hana mazoea na wewe, ila ukishaanza date na rafiki yake anaanza kukupa attention yenye maana ya yeye kujilengesha kimapenzi.. mwanaume usipokua na msimamo unaharibu ephen_ ShesRise_1 realMamy Shadeeya
Kwa hiyo ni sisi au
 
Back
Top Bottom