ShesRise_1
JF-Expert Member
- Aug 21, 2025
- 16,993
- 40,149
Soreeee sitaki mafunzo aina yoyoteNtakufundisha
Njoo basi
Soreeee sitaki mafunzo aina yoyoteNtakufundisha
Njoo basi
Shem shem 😊Ni mitego ya mjini hiyoo! Mjini unakuja na akili, tabia unazikuta huku huku. 😊
Sawa mshem mdarling.Soreeee sitaki mafunzo aina yoyote
Mimi waume wa dada zangu nawaita shemeji. Wake wa kaka zangu nawaita mama fulani mfano kama mtoto wao anaitwa sandra, nitamuita mama sandra.Kwanza mimi kumwita mtu shemeji napata ugumu sana. Kuna shemeji yangu huwa namwita tu broo
Tulia mpwa wanguSawa mshem mdarling.
Shem shem 😊
Yule mdogo wangu kumbe ham kufika popote🙄Nani shemeji yako we binti! 😊
Ugumu unatoka wapi ndugu? Yule si kakaako bwana.Vyote kwa pamoja.
Kitu ambacho nimeshindwa nikumuita mume wa dada yangu "shemeji"
Namwita "kaka"
Shem Darling 😝Mkuu unawidnwa kwa speed ya Usain bolt
Angalia unavuka mipaka huko lindo unakokesha hukufunzwa maadili 😎Ushantamanisha.
Hapa ka udenda kanadondoka tu.
Demu wa mwana lazima kuwe na mipaka mkuu. Naongelea rafiki wa girlfrend au mke wakoDemu wa mwanao akikuita ivo anataka uichape, amekuona zoba/fala/lofa unazubaa
i am speechlessAngalia unavuka mipaka huko lindo unakokesha hukufunzwa maadili 😎
Mtu aliniita hivyo najua kabisa she's into me. Ndo mwanzo na mwisho wa mazoea. Ukiacha kuichapa napo unaoneka boyaShem Darling 😝
Njoo basi kule siasani ujue hatukumalizana ewe kijana wa makamoSimjui hata! 😊
Haya pumzika sasai am speechless
Hapo umemshushia heshima yan anakuaje kaka namahari amelipa nabado analala nadadako chumban af eti kakaVyote kwa pamoja.
Kitu ambacho nimeshindwa nikumuita mume wa dada yangu "shemeji"
Namwita "kaka"
Naomba uje unione.Haya pumzika sasa
Unakuwa unajua kabisa rafiki Yako hapendwi 😝Mtu aliniita hivyo najua kabisa she's into me. Ndo mwanzo na mwisho wa mazoea. Ukiacha kuichapa napo unaoneka boya