Nini maana ya kantangaze?

hili neno alianzisha Kajala muuza nyago bongo muv kule whasap baada ya team Wema kumwambia arudishe zile mil13 ili asiende jela, nahisi hvyo
da kumbe sasa wauza nyago nao wanaiga tu aaaaaaaaaaaaaaaggggggg mi nilidhani nipo mwenyewe silielewi basi sawa ngoja waje

cc
Lara 1
 
Mi nimekuwa nikisikia tu , in town siku hizi kila mt ooooh kantangazee, msaada tutani maana hata ukiomba papuch utasikia kantangazeeeeeeeeeeeeee

hata mimi nimesikia jana kwenye taarifa ya habari, sijui ni tangazo la nini?
 
halina maana yoyote, ni sawa tu na mtu acheke heheheeee halooooo....sasa ukimuuliza maana ya hiyo halooo atajua??? inshort ni kicheko cha umbea tu
 
kantangaze ni kumfagilia mtu,kwa kitu chochote kile.kama amependeza unammwambia umependeza,unamjibu kantangazeee
 
Uswazi si mchezo, unajua maana ya demu king'amuzi?

Kuna Startimes mpaka DSTV.
 
Back
Top Bottom