Ukisikia "Vilage people" nini kinakuja akilini?

Ukisikia "Vilage people" nini kinakuja akilini?

Precious Diamond

JF-Expert Member
Joined
Jun 9, 2023
Posts
739
Reaction score
1,673
Mimi nikisikia kuhusu village people, kinachokuja kichwani ni wachawi na watu wasiopenda maendeleo yako. Yaani wakiona umepiga hatua tu, hao wanakuja kukurudisha nyuma. Utasikia huyu naye..... hapo ujue umekwishaaa!

Wengine hata wanaogopa kurudi makwao sababu ya hawa village people, akiweza kuchomoka tu na kwenda mjini ndio imetoka hiyo. Atarudi kijijini kuzika, siku ya pili huyoooo kachomoka!

Ni mambo gani mengine village people wanahusishwa nayo?
 
Back
Top Bottom