Nini maana ya kantangaze?

Nini maana ya kantangaze?

Hehee!kila mtu kantangaze kantangaZee,utangazwe kwa kipi cha ajabu ulichokua nacho?binafsi siupendi huo msemo
 
kantangaze ni kumfagilia mtu,kwa kitu chochote kile.kama amependeza unammwambia umependeza,unamjibu kantangazeee

Hapa ndo tutajuana vizuri mabinti wa uswazi lazima hili neno mtakuwa mnalifahamu vizuri
 
Back
Top Bottom