Nini maana ya kantangaze?

Nini maana ya kantangaze?

yani unaomba papuchi unaambiwa kantangazee nae akikuomba hela mjibu hivohivo
 
Waje wenyewe wa mtogole magomeni nk waje watujuze maana

Yaani mjini siku hizi watu kazi hawana wamekalia umbea tuu majungu sasa wenyewe wanasema niache na yangu shoga kantangazeeee.
 
Amtangaze nani wakati hata mjumbe hamjui?? Ni wapuuzi tu wasikuumize kichwa,mara nyingi ni wadhaifu sana hutumia hii kauli kujilinda
 
Tangazo Tangazo Manzese kwa Mfuga mbwa katka kibanda changu zinapatkana chips funga pamoja na kachumbari, tomato sosi, pilipili tamu bila kusahau mishikaki kwa bei nafuu. Pls asikiaye tangazo hili amtangazie na hawara yake!!
 
Hawajielewi!!! Mm huo msemo unaniboa kichiz... Dawa yao unakamata unapiga pipe then akajitangaze mwenyewe na kipapuch chake
 
Jana nimemuuliza dada mmoja ofisini maana ya hilo neno akasema ni maneno ya umbea hivyo mtu anapozushiwa jambo anajihami kwa kusema kantangaze yaani hababaishwi na uzushi.
 
Back
Top Bottom