Nini maana ya kantangaze?

huwa nakereka kuona hadi wanaume pia wanatumia hili neno....
Ukiona Mwanaume analitumia hilo neno,ujue ni baiskeli ya kihindi au ana elements hizo

Hili neno KANTANGAZEEE
naliona linatumika kuwasuta wambeya kuwa wakatangaze UMBEA (Publicity)
  • upo uzi humu JF uliletwa na msandawe kuhusu wanawake kuusifia mdushelelee " walisema bora kumnyima mwenye kibamia kwani ataendakutangaza kakutana na Bwawa la mtera hivyo bota kumnyima kabisa na kumwambia KANTANGAZE
  • na kwa mwanamume ni hivyo hivyo bora kumnyima Demu mshiko akakutangaze anamgidia ----- mnyime hata vocha mwambie KANTANGAZE
Vijiwe vya siku hizi ni hadithi za kutangazana tu mara kachacha, mara Demu maji tupu, mara ndio hao waliokwapua Benki mara analiwa kiboga nk
na mm KANTANGAZE JF
NIMETOA TAFSIRI YANGU YA KANTANGAZE kuwa ni kijiji cha ujamaa huku kwetu
 
Mi nimekuwa nikisikia tu , in town siku hizi kila mtu ooooh kantangazee, msaada tutani maana hata ukiomba papuchi utasikia kantangazeeeeee

Kwa wale mliosoma kiswahili mtakubaliana nami kuwa neno kantangaze ni aina ya msimu yaani (msimu zagao) kwa mara ya kwanza nilisikia neno hili kwenye filamu
moja hapa bongo (siijui) wife alikuwa anaiangalia hiyo filamu coz ni mpenzi wa filam za bongo kwa hiyo neno hilo limepata umaarufu mkubwa baada ya kutumiwa sana
ndani ya filamu hiyo niliyoiona ila pia si vibaya coz kwa wataalamu wa lugha km cc hapa ndio lugha ukuwa kwani ujiongezea misamiati.
NB: neno hili utumiwa sana na wanawake xo sisi wa kiume tuwe makini na namna ya kutumia neno hili..
 
Hili neno kweli litakuwa halina maana, maana mpaka sasa SIJAONA aliyesema maana yake.
 
Back
Top Bottom