Nini maana ya kantangaze?

Nini maana ya kantangaze?

mi sipendagi kusikia hivy..basi tu sema siwezi kuziba mdomo wa mtu Bantu lady
 
Last edited by a moderator:
Ngoja na mimi nisubirie majibu nipate kujua maana ya hilo neno
 
Waje wenyewe wa mtogole magomeni nk waje watujuze maana
 
Kuna wimbo nao nmeona unaimbwa na hilo neno,binafsi sipendi kuckia mtu akilisema.
 
hili neno alianzisha Kajala muuza nyago bongo muv kule whasap baada ya team Wema kumwambia arudishe zile mil13 ili asiende jela, nahisi hvyo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom