Yote ni zinaa awe kwenye ndoa ama nje ya ndoa ili mradi hawakuoana na wakafanya tendo basi ni zinaaHii ndio point sasa.[emoji122][emoji122][emoji122],..kiukwel ku commit adultery mana yake ni sexual relationshp ambayo the least member lazma awe mwana ndoa,.ila tasfiri nyingne za uasherat i think came as bylaws na zmewekwa na binadam kutokana na matokeo yake kuonekana watu ambao hawako kwenye ndoa wakifanya haya matendo kiholela yana madhara,so they put a law and regulation..ili kua na control.kuepusha mambo kama hayo uliyotaja...though ukifanya kwa calculated risk sidhan kama ni dhambi,ni sawa na pombe/ulevi tuu.
DAMBI NI UASI WA SHERIA......Inategemeana na imani yako,kwa mfano mkristu au muislam huamini kuwa uasherati ni dhambi na mashahara wa dhambi ni mauti,yaani kifo na adhabu ya milele motoni,ila kama unaimani tofauti na hivyo basi hufanyi kosa,soo ninafsi yako na unavyo amini.
Awkay,..i get the feeling,..[emoji23][emoji23],..ungeongeza na mtoto wangu wa kike,lolUngefurahi mtu akazini na dadako ama mamako (iwapo ni mjane)? Kwa sababu tu wamekubaliana kufanya hilo tendo. Huo ni uchafu. Na kutakuwa hakuna tofauti kati ya binadamu na mnyama.
[emoji122][emoji122][emoji122],..una point ya msingi...i think ku control parameters zote ili isiwe dhambi ni ngumu.sababu,.huyo dem unaefanya nae ukimwacha halaf ukaenda kwa mwingne na akajua,bas ugomvi utatokea,..kweli hapa naanza kupata kitu kuhusu hii kitu...inawezekana ni dhambi kweli..meaning kwa tendo hili kama sio dhamb bas people could be f**k like nobodys business.na kuachana na watu kupigana kila kukichaAiseee! umewahi kuwa na girl friend wangapi? Ukweli unabaki pale pale, kufanya mapenzi/matusi kabla hujaoa/olewa ni dhambi. (Usizini amri ya sita). Madhara yake ni pamoja na magonjwa mengi tu unayoyasikia.
Kuna mwingine atasema toka aanze kuiba hajaona madhara na anafurahia wizi... hii haikusafishi. Kutofuata amri za Mungu ni dhambi.
Mkuu naomba kupewa tofauti ya uzinifu na uasherati coz ni swali ambalo nimekua najiuliza kwa muda mferu na sijapata jibuWewe na girlfriend wako mnafanya uasherati
Kwahiyo wanaokufa wote wamefanya dhambi.wasinge fanya dhambi wasinge..... Dah imani hiziInategemeana na imani yako,kwa mfano mkristu au muislam huamini kuwa uasherati ni dhambi na mashahara wa dhambi ni mauti,yaani kifo na adhabu ya milele motoni,ila kama unaimani tofauti na hivyo basi hufanyi kosa,soo ninafsi yako na unavyo amini.
Kuiba ni mfano tofauti na mada maana ukiiba umemuumiza mwingine yani kuna MTU umemkooseaKama hauamini katika imani yeyote, basi ni halali yako kuona sio dhambi....
Hivo unaweza hata kuiba kisha ukaona sio dhambi kwasababu hukua nacho hivo umeiba umepata
Tutajie hayo madhara kama matatu tu(kwa wasio wanandoa)Hio ni definition ya wazungu
Kwao kusex kabla ya ndoa kwa gf na bf ni sawa ila usi sex na mtu aliepo kwenye ndoa.
Japo sisi waislam anaezini akiwa katika ndoa hukum yake ni kifo ila anaezini akiwa hajaoa au kuolewa apigwe viboko 80.
Tofauti ya mzinifu alieoa na asie oa ipo.
Laiti tungejua ubaya na madhara ya zinaa,tusingekua tunajianika humu jf kila mtu ajue maovu yetu.
Ukitoa rushwa manake kuna mtu amedhulumiwa haki yake.mfano haufanani na madaHata mla rushwa na mtoa rushwa huwa wanaridhiana ila ni dhambi.
Hata mababu zetu walikua na mfumo mzuri tu wa maisha na wala walikua hawalali na mama zaoTatizo una judge vtu kwa mtazamo wako.
Wakati dini imekuja kumpa mwanadam mfumo kamili wa maisha.
Ingekua maisha ni kuamua,basi watu wangelala na mama zao,Dada zao n.k
Hujaeleweka.Ungefurahi mtu akazini na dadako ama mamako (iwapo ni mjane)? Kwa sababu tu wamekubaliana kufanya hilo tendo. Huo ni uchafu. Na kutakuwa hakuna tofauti kati ya binadamu na mnyama.
Magonjwa hata ndani ya ndoa yanapatikanaAiseee! umewahi kuwa na girl friend wangapi? Ukweli unabaki pale pale, kufanya mapenzi/matusi kabla hujaoa/olewa ni dhambi. (Usizini amri ya sita). Madhara yake ni pamoja na magonjwa mengi tu unayoyasikia.
Kuna mwingine atasema toka aanze kuiba hajaona madhara na anafurahia wizi... hii haikusafishi. Kutofuata amri za Mungu ni dhambi.
Nipe tafsiri ya ndoa kwa mujibu was vitabu vya diniYote ni zinaa awe kwenye ndoa ama nje ya ndoa ili mradi hawakuoana na wakafanya tendo basi ni zinaa
Kitendo chochote cha kukutanisha vizalio vyenu nje ya NDOA ni dhambi!Uasherati ni dhambi?..na kosa lake ni nin mi kuridhiana na dem wangu tena kwa furaha zote.
Uasherati ni kufanya mapenzi kinyume na maumbile,unaitwa pia ufirajiWewe na girlfriend wako mnafanya uasherati
Ndg unatia huruma dah ndo hvyo hatuwezi kuihalalisha japo ni tamuUbaya wa kufanya uko wap?..nafaham ubaya wa kuiba,kwamba mwenzio ametafta chake wew ukichukue,hapo maelewano kutakua hakuna kat ya pande mbili,..sasa kufanya tendo na dem wangu tena wote tumeridhia kuna ubaya gan?..anyways,..when you come up with religious factors that significantly keep you away frm questioning,ndo majib kama haya yanakuja,sauwa bwana.
Tutajie hayo madhara kama matatu tu(kwa wasio wanandoa)