Timtim
JF-Expert Member
- Feb 9, 2008
- 608
- 125
Yote ni zinaa awe kwenye ndoa ama nje ya ndoa ili mradi hawakuoana na wakafanya tendo basi ni zinaaHii ndio point sasa.[emoji122][emoji122][emoji122],..kiukwel ku commit adultery mana yake ni sexual relationshp ambayo the least member lazma awe mwana ndoa,.ila tasfiri nyingne za uasherat i think came as bylaws na zmewekwa na binadam kutokana na matokeo yake kuonekana watu ambao hawako kwenye ndoa wakifanya haya matendo kiholela yana madhara,so they put a law and regulation..ili kua na control.kuepusha mambo kama hayo uliyotaja...though ukifanya kwa calculated risk sidhan kama ni dhambi,ni sawa na pombe/ulevi tuu.