Nini maana halisi ya kuzini (You shall not commit adultery)

Ukiangalia hiz dhambi nyingne ni kwel ziko logical,..kwa mfano hyo ya kutaman mal/mke wa mwenzio,au kuiba etc,i see the impact,kwamba kuna madhara dhahir kabsa hutokea baada ya kufanya hizo dhambi,..ila kwa gf na bf ambao wameridhiana ,kiukwel kwa tafsir ya kuzini sion kama ni kosa lolote.
Angalia hizo Amri ulipewa na nani? Usiangalie kosa kwa maana ya kumkosea mwanadamu mwenzio bali aliyekupa amri hizo.Elewa kufanya hivyo ni chukizo kwa aliye kupa amri hiyo hata kama ninyi mnaotekeleza mmeridhiana na mnafurahia kufanya hivyo.
Hii ni kwa waamini tu wa Dini zenye amri hizo!
 
Back
Top Bottom