Nini maana halisi ya kuzini (You shall not commit adultery)

Rejea kichwa cha habar,

Nimesoma maana nzima ya amri hiyo kutoka maeneo mbalimbali,kwa lugha ya wenzetu na pia lugha yetu, ikimaanisha,..adultery ni sexual relation ambayo atleast mmoja wa wahusika ni mtu aliye kwenye ndoa..

Sasa swali langu ni kwamba; je, kwa hawa ma girl friend na ma boy friend ambao bado hawajaingia kwenye ndoa wanapofanya hilo tendo,je wanafanya makosa?..

Ni kweli mtu akishajihalalisha kwa watu na mashahidi tena kwa document za ndoa mkaoana,na kukubaliana kwa maandish kua huyu ni wangu na sitokwenda kwingine, then anapovunja masharti hayo ni kweli anafanya makosa..

Sasa mim na GF wangu ambao hatujafunga ndoa tunapofanya mchezo huu tuna makosa gani au tunamkosea nani na kuna ubaya gani?
KUZINI NI KUFANYA KITENDO CHA NDOA NJE YA RHUSA YAANI YA KIDINI AU KIMILA . HUYO GF WAKO HAMJARUHUSIWA HIVYO NI KUZINI.
 
Uasherati kwa kingereza wanaita "Fornication " ambapo inamaanisha " sexual intercourse btn people not married to each other" hiyo ni miongoni mwa maana nyingi za kibiblia za neno hilo!! Kwa ufupi Wakristo wanaamini kuwa Uasherati ni dhambi kwasababu unafanya tendo la ndoa na mtu ambaye sio mumeo wala mkeo, ndio maana kuna vifungu vingi tu katika bible vinavyotoa onyo kwa wote wanajihusisha na zinaa na aina zake kama vile Uasherati(Fornication), Uzinzi (Adultery), walawiti na wafiraji hawataurithi ufalme wa mbingu, rejea 1Wakorintho 6:9, hiyo ni kwasababu wakristo wanaamini kuwa Mwili ni hekalu la roho mtakatifu, hivyo roho wa Bwana hukaa ndani yake so kama mtu anajihusisha na vitu kama hivyo roho hawezi weka makazi ktk sehemu chafu, na kuwa dhambi aitendayo mwanadamu ni nje ya mwili wake, ila yeye afanyae zinaa hutenda dhambi juu ya mwili wake mwenyewe, rejea 1Wakorintho 6:18-20, pia unaweza angalia Wakolosai 3:5-6. Hayo ni mafungu machache tu kati ya mengi yaliyopo ktk Biblia yakipigia kelele Fornication kuwa si kitu cha kufanywa na muumini wa imani hyo. Kama utakuwa si muumini wa imani hiyo ni haki yako kuendelea kuamini unachokiamini lakini kwa jinsi ulivyo quote hiyo sentensi ni dhahiri kuwa umeitoa ktk bible hivyo fornication is totally prohibited aisee!!
 
On hoo...!!

Kwahiyo Foenication na Adultery ipi ni dhambi kubwa.!?
 
Kama hakungekuwa na kosa wachumba kufanya sex pangekuwa na haja gani ya kufunga ndoa? Kama hakuna ndoa mtu mwingine yeyote anaweza kuja akamwoa huyo mwenzi wako hata kama mna uchumba wa miaka saba na hatakuwa na kosa. Kama mnapendana kikweli si mfunge basi ndoa ili dunia ijue kuwa huyo ni wako? Kitendo cha kutotaka kufunga ndoa (kwa sababu yoyote ile) kinaonyesha wazi hampendani vya kutosha. Ukipenda kikweli lazima utamani kuwa na huyo mwenzio kuliko kitu chochote kingine. Unachezea real love wewe !
 
Real love skuhiz ni kwa asilimia ndogo sana,perhaps 10%..watu wanaoana skuhiz FOR A REASON..eithet umri umeenda,kutafta watoto tuu,pesa,advantage flan kwa mfano mtu anaoa dem ambae kwa wako njema or ana urith mkubwa etc..real love chache sana tena hua znahapen vipind vya early stages,labda masomoni etc,..ila baada ya masomo weng huachana kutokana na situations,..unakuta dem anampenda jamaa kiukwel na wanapendana ila tatzo jamaa hana mpunga dem anaenda kwa mwenye mpunga ,or jamaa anapata kaz nzur anamwacha dem wake sabab ni mzigo etc,na mambo kama hayo
 
Umedanganywa
Yesu alisema kila amwangaliaye mwanamke kwa kumtamani anakuwa kazini naye tayari. Sasa kabla hujafikia hatua ya kusex hukuanza kumtamani huyo girl friend wako???? Dhambi ya uzinzi ukianza kuichambua ni pana sana. Unisex na mtu sio mkeo tayari una dhambi ya uzinzi imekukalia.
Usikubali kudanganywa hivihivi eti unatafuta amani ya kufanya ngono kabla ya ndoa.... !!!!
 
Adultery ni kucheat ukiwa ndoani, kuzini kunaitwa fornication, mapenzi kabla ya ndoa.

Ukimla nduguyo hiyo inaitwa incest
 
mimi nachukulia uasherati ni dhambi tu kama ilivyo dhambi ya uongo au usengenyaji, ila huwa nashindwa kumwelewa mtu anayeipasha na kuifanya ionekane kubwaaaa.
Ni kweli ni kubwa na nzito japo twasema hakina dhambi kubwa wala ndogo lakini Mtume Paulo katika 1Wakoritho 6:18 anasema ikimbieni zinaa, kila dhambi anayoitenda mwanadamu hutenda nje ya mwili wake lakini afanyaye zinaa huifanya juu ya mwili wake mwenyewe.

Ni dhambi inayoshusha hadhi ya mtu kiroho na kujamii, inaaffect psychology ya mtu. Ndo maana mtu (hasa watuwishi wa Mungu) anaweza kuiba sadaka, kudanganya, nk lakini ikijulikana anatembea na waumini au kuwa na mchepuko pembeni, imani ya waumini wake juu yake huisha au hushuka......

NB: IKIMBIE ZINAA, IOGOPE HADI MUDA WAKE.
 
Muda wake ni lini sasa? Na je, kuna muda ambao nitaruhusiwa kufanya zinaa?
 
Back
Top Bottom