Magamba mwaka huu mna kazi!! Haya kapokee buku saba ili walau watoto waende choo!!!
Ndugu zanguni,
Zifuatazo ni baadhi tu ya maana ya vidole viwi wanavyotuonyeshaga makamanda
1. Chadema ina viongozi wawili tu maisha, Mbowe na Dr
2. Chadema ina aina mbili ya wanachama, wenye chama (wa kaskazini - priority) na wafuata upepo (wa mikoa mingine- second class)
3. Dr Slaa ana kadi mbili ya chadema na ya CCM
4. Chadema itakuwa always namba mbili kwenye chaguzi
5. Chadema ni kwa ajili Mikoa miwili ya Moshi na Arusha
Maana nyingine mtanisaidia
![]()

Mkuu jisikie huru kuanzia sasa hivi kutumia udr wa heshima kwa tafakuri yako yenye maana zaidi Dr ChilisosiNdugu zanguni,
Zifuatazo ni baadhi tu ya maana ya vidole viwi wanavyotuonyeshaga makamanda
1. Chadema ina viongozi wawili tu maisha, Mbowe na Dr
2. Chadema ina aina mbili ya wanachama, wenye chama (wa kaskazini - priority) na wafuata upepo (wa mikoa mingine- second class)
3. Dr Slaa ana kadi mbili ya chadema na ya CCM
4. Chadema itakuwa always namba mbili kwenye chaguzi
5. Chadema ni kwa ajili Mikoa miwili ya Moshi na Arusha
Maana nyingine mtanisaidia
![]()
Nakichukia CDM Kama ninavyomchukia Shetani. Ni wadini sana hata 2010 walitumia sana kanisa lakini wapi wanashinda licha ya nguvu kubwa ya kanisa.
Hata Lissu statement yake dhidi ya JK ni full udini. CDM kwa kakumbatia dini Moja hamuwezi shida hii nchi hadi Massiah arudi