Anko Sam
JF-Expert Member
- Jun 30, 2010
- 3,254
- 907
Ni vizuri ungeuliza kwenye Tawi ulilojiunga, maana humu kuna magamba na wasotea buku 7 wa Lumumba watakupotosha kama usipo wabaini. Ila kuna majibu mengi mazuri na ya kiungwana. Pia ni vizuri kusoma sera za CDM na kuzielewa usije potoshwa na magamba.
CCM sera zao na matendo yao ni sawa na kaskazini na kusini!
CCM sera zao na matendo yao ni sawa na kaskazini na kusini!