Nini maama ya vidole viwili (The 'V' sign)?

Nini maama ya vidole viwili (The 'V' sign)?

Ukienda southern amerika ukatingisha kichwa kwa namna sisi tunavyofanya wakati tunakubaliana na anayoyasema mzungumzaji wao watakuchukulia kwamba haukubaliani nae.

nadhani unaweza ukaanza kufikiria mambo ya msingi sasa.
Hivi sasa mawasiliano ya barabara uko singida yamekatika na kusimamisha shughuli zote za usafirishaji kati ya singida yenyewe, tabora,shinyanga,kigoma,mwanza na musoma na dodoma,morogoro,dar na miko ya kusini, hali hii imesababishwa na mvua ambayo pia inaendelea kusababisha vifo vya watanzania kila siku zinavyokwenda. kwa mujibu wa gazeti la mwananchi, mpaka kufikia jana ni zaidi ya watu watano wameshafariki kutokana na mvua hizo.

Haya yote yanatokekea miaka zaidi ya hamsini baada ya kuwafukuza wakoroni waliokuwa waliitawala nchi yetu kwa manufaa ya kwao huku wakidunisha uwezo wetu wa kufikiri,utu wetu, na kuendesha nchi yetu kwa manufaa yetu wenyewe na vizazi vyetu kikiwamo hiki cha sasa.
 
Ina maana ya ushindi yaani kwa lugha ya kiingereza maana yake ni "Victory". Ni alama inayotumiwa sana nchi nyingi za bara la Asia.
 
kwanza kabisa vidole viwili vipo kwa kila mwanadamu hata wewe unavyo kwa hiyo ni wakati wako kuamua kunyanyua kimoja kama CCM au Viwili Kama CDM.
 
Huyu nae kwa akili yako ndogo site uliyotoa ni ya free Manson na alama ya V kwa chadema vinahusianaje?
 
Aiseeeeee babayangu ngoja nisome habari zenye hoja mada yako haina mshiko tuletee mada zenyekujenga taifa
 
Wezi wa mfukoni. Vidole viwili inamaana kuchomoa hela na mwenye nayo asishtuke. Au kidole kimoja kanisa na chapili cdm hapo wote ni damdam. Siunajua tena kanisa na freemason ni damdam? Ikohivi, Freemason=Kanisa=cdm.
 
NAOMBA KUFAHAMU MAANA HALISI YA ALAMA YA VIDOLE VIWILI INAYOTUMIWA NA CHADEMA ,,,,,, MANA NIMEPITIA WEBSITE HII KIDOGO IMENITIA MASHAKA HIYO ALAMA YA CHADEMA(LUCIFARIAN HAND SIGN)
...http://www.whale.to/b/hand.html

Kibe vya CHADEMA viko tofauti na vya hawa jamaa!! Usiwaonee bana hata kama wameiga lakini haina maana hii kama huyu jamaa hapa:


additi56.jpg
 
Ni vidole vipi unavisema??? vya lucifarin vinaeleweka na vya ushindi vinaeleweka mkono una vidole vitano kila kimoja kimepewa kazi yake.wazinzi nao wana cha kwao hapo unasemaje!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Kila kitu chaweza kutafsiriwa utakavyo. Ila ile ya CHADEMA yamaanisha USHINDI. "V"ictory
 
uchumi tunao lakini tunaukalia,mawazo tunayo lakini hatuwazi,njaa jamani inadumaza kufikiri
 
Wezi wa mfukoni. Vidole viwili inamaana kuchomoa hela na mwenye nayo asishtuke. Au kidole kimoja kanisa na chapili cdm hapo wote ni damdam. Siunajua tena kanisa na freemason ni damdam? Ikohivi, Freemason=Kanisa=cdm.

Tumekusikia ustaadhi ilunga! Haya, kimbilia msikitini ukawaeleze na walioko huko.
 
Inaweza ikatafsiriwa kama ushindi au amani au ikawa haina tafsiri lakini ikawa njia ya kutambuana tu. Ndiyo maana kwa mfano kiongozi wa ccm akipita karibu na ngome ya CDM wataonyesha vidole viwili kwa maana ya utambulisho wao, kwa upande mwingine CCM wataonyesha dole gumba
 
Alama ya vidole viwili sio alama ya Chadema bali kiashiria cha vyama vingi! na ilianza kutumika TZ wakati wa Marehemu Mzee Abdala Saidi Fundikira na wapinzani wenzake akina James Mapalala nk, kabla ya hata ya Mzee Mtei kuanzisha chama chake cha Chadema ambacho kina tokana na Lugha ya kichaga yenye maana ya kuchechemea!

Hivyo vidole 2 si alama ya Chadema bali ni kuashiria vyama vingi!
Chadema wamedandia tu!
 
Wezi wa mfukoni. Vidole viwili inamaana kuchomoa hela na mwenye nayo asishtuke. Au kidole kimoja kanisa na chapili cdm hapo wote ni damdam. Siunajua tena kanisa na freemason ni damdam? Ikohivi, Freemason=Kanisa=cdm.

mtakalia hayohayo kanisa la nyumbani kwenu ndo frmason,kusoma hamtaki kazi kunywa kahawa na kufuga majini na kulala misktn wenzenu tunajenga,vyuo,mahospital,mashule mkstuka mnadai vlikuwa vyenu au serikali ime2pa hela wajinga nyie. All in all sku ya mwsho 2taona kama wakristo wote watakwenda moton kama mnavyosoma kwny daftari lenu hlo.
 
Ndugu zanguni,

Zifuatazo ni baadhi tu ya maana ya vidole viwi wanavyotuonyeshaga makamanda

1. Chadema ina viongozi wawili tu maisha, Mbowe na Dr

2. Chadema ina aina mbili ya wanachama, wenye chama (wa kaskazini - priority) na wafuata upepo (wa mikoa mingine- second class)

3. Dr Slaa ana kadi mbili ya chadema na ya CCM

4. Chadema itakuwa always namba mbili kwenye chaguzi

5. Chadema ni kwa ajili Mikoa miwili ya Moshi na Arusha

Maana nyingine mtanisaidia

bth_63701_108420225998779_1665208990_n.jpg
 
Back
Top Bottom