Nini maama ya vidole viwili (The 'V' sign)?

Nini maama ya vidole viwili (The 'V' sign)?

Hii thread ni uharooo tu hamna kitu cha kuchangia ndo maana kina dada wa lumumba kibao wanaopenda mipasho
 
Chadema ni chama cha matakwa ya watu mikoa miwili tu.

Nilishakuambia ww ni janga! Unafaa kufanywa kama alivyofanywa Gaddaf..kushindiliwa mti kwenye mas**buri!

Unasema CDM ni chama cha mikoa miwili? Vp kuhusu Mbeya, Mwanza, Ars, Dar, Kilimanjaro, Singida na mikoa mingine wanamotoka wabunge wa CDM?!

Acha upuuzi...haya manyinyiem majinga na majanga sana!
 
Vijana wa Chama tawala tuko vizuri, tunaibana Chadema kwelikweli
 
Ndugu zanguni,

Zifuatazo ni baadhi tu ya maana ya vidole viwi wanavyotuonyeshaga makamanda

1. Chadema ina viongozi wawili tu maisha, Mbowe na Dr

2. Chadema ina aina mbili ya wanachama, wenye chama (wa kaskazini - priority) na wafuata upepo (wa mikoa mingine- second class)

3. Dr Slaa ana kadi mbili ya chadema na ya CCM

4. Chadema itakuwa always namba mbili kwenye chaguzi

5. Chadema ni kwa ajili Mikoa miwili ya Moshi na Arusha

Maana nyingine mtanisaidia

bth_63701_108420225998779_1665208990_n.jpg
Chili ehee!

Nimeipenda namba 5 teh teh teh.
 
ha ha ha ha ha ha ha!!!!!!!!! ni mawazo yake na siyo ya taifa nzima relax.
 
Huu uzi ameanzisha mmojawapo wa mods wa jukwaa la siasa, ndio maana ipo haijafutwa! What a nonsense! Nimeamini JF is a home of great thinkers wa tz!
 
Ndugu zanguni,

Zifuatazo ni baadhi tu ya maana ya vidole viwi wanavyotuonyeshaga makamanda

1. Chadema ina viongozi wawili tu maisha, Mbowe na Dr

2. Chadema ina aina mbili ya wanachama, wenye chama (wa kaskazini - priority) na wafuata upepo (wa mikoa mingine- second class)

3. Dr Slaa ana kadi mbili ya chadema na ya CCM

4. Chadema itakuwa always namba mbili kwenye chaguzi

5. Chadema ni kwa ajili Mikoa miwili ya Moshi na Arusha

Maana nyingine mtanisaidia

bth_63701_108420225998779_1665208990_n.jpg

vigeuze hvyo vidole then tafta tundu lolote nyuma yako viingize
 
Machizi buku 7 FC leo mmepata pa kushinda najua hamtoki leo humu. Maana mnavyopenda udaku!!
 
Nilishakuambia ww ni janga! Unafaa kufanywa kama alivyofanywa Gaddaf..kushindiliwa mti kwenye mas**buri!

Unasema CDM ni chama cha mikoa miwili? Vp kuhusu Mbeya, Mwanza, Ars, Dar, Kilimanjaro, Singida na mikoa mingine wanamotoka wabunge wa CDM?!

Acha upuuzi...haya manyinyiem majinga na majanga sana!
Hivyo ni vitu vidogo sana kwangu wala huwa havinitishi kwa malimbukeni kama wewe,
hayo mawazo uliyonayo unaonaje ukirudi nyumbani kamfanyie mzazi wako mmoja au mkeo?
 
Baada ya ile thread ya Mishahara ya wabunge na waziri mkuu, CCM wamekuja na 'ghadhabu' sana.
Iliwagusa sana ile thread iliyofichua mshahara mkubwa ya waziri mkuu.
Sasa naona wako 'busy' kujaribu kusahaulisha watu 'kadhia' ile.
Katika thread ile, Zitto alinukuliwa kutaja mshahara wa waziri mkuu wetu TZ.
Watu wengi walikua hawajui kuwa jamaa anavuta kitita cha 'ukweli' kiasi kile....

Tujikumbushe kidogo ile thread hapa...:-

https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...sipo-bungeni-kwa-ajili-ya-kupigana-ngumi.html

Copy:-
Chris Lukosi, ZeMarcopolo, na [MENTION]Faiza Foxy[/MENTION].
 
Last edited by a moderator:
Umenikera, cjaona tuc likufahalo chini ya jua, namuomba mungu akuchagulie adhabu kwa hayo uloandika juu ya chadema.
Chochote kitachokukumba ni moja ya adhabu zako hadi uombe radhi.

masamehe bure, hana tofauti na wale wanao leta dharau mbele ya walio na hasira...........
ni Mtizamo wake ambao kiasi kikubwa anayo mawazo ya peke yake tofauti na ukweli.
 
Ndugu zanguni,

Zifuatazo ni baadhi tu ya maana ya vidole viwi wanavyotuonyeshaga makamanda

1. Chadema ina viongozi wawili tu maisha, Mbowe na Dr

2. Chadema ina aina mbili ya wanachama, wenye chama (wa kaskazini - priority) na wafuata upepo (wa mikoa mingine- second class)

3. Dr Slaa ana kadi mbili ya chadema na ya CCM

4. Chadema itakuwa always namba mbili kwenye chaguzi

5. Chadema ni kwa ajili Mikoa miwili ya Moshi na Arusha

Maana nyingine mtanisaidia

bth_63701_108420225998779_1665208990_n.jpg

Imeandikwa kwenye kamusi ipi?Kwa weledi wako umeeleza maana ya vidole viwili vya cdm eleza maana ya kidole kimoja cha ccm.
 
Wezi wa mfukoni. Vidole viwili inamaana kuchomoa hela na mwenye nayo asishtuke. Au kidole kimoja kanisa na chapili cdm hapo wote ni damdam. Siunajua tena kanisa na freemason ni damdam? Ikohivi, Freemason=Kanisa=cdm.
wewe ndo nyoka alomdanganya adam.pumbaf gaidi mkubwa
 
Back
Top Bottom