Baba V
JF-Expert Member
- Dec 29, 2010
- 19,479
- 9,550
Ndugu zanguni,
Zifuatazo ni baadhi tu ya maana ya vidole viwi wanavyotuonyeshaga makamanda
1. Chadema ina viongozi wawili tu maisha, Mbowe na Dr
2. Chadema ina aina mbili ya wanachama, wenye chama (wa kaskazini - priority) na wafuata upepo (wa mikoa mingine- second class)
3. Dr Slaa ana kadi mbili ya chadema na ya CCM
4. Chadema itakuwa always namba mbili kwenye chaguzi
5. Chadema ni kwa ajili Mikoa miwili ya Moshi na Arusha
Maana nyingine mtanisaidia
![]()
Kweli mwaka huu uvccm mmedhamiria kutekeleza ilani ya ccm... Kweli ccm ina vijana.... dah.!