Nini maama ya vidole viwili (The 'V' sign)?

Nini maama ya vidole viwili (The 'V' sign)?

haaaaaah haaaaaaah mnahangaika na cdm weeeeeee badala ya kuhangaika na mizigo ya ccm, cdm hamtaiweza kamwe,sisi tunasonga mbele,nothing can hinder cdm,cdm is with God and its the only rope of hope to Tanzanians.Naipenda cdm toka moyoni real nakwambia wewe simiyu,lukosi na wadudu wengine mnao ipekechua nchi yetu kama mchwa, alama ya vidole viwili ni sign ya victory yaan V hayo mengine ni ulevi wenu tu
 
Kama huna cha post soma ya wengine sio kuandika utumbo kama huu ili nawe uonekane upo hapa jf
 
hili jukwaa linauchafu mwingi mno, bila kusafishwa heshma ya Jf itakuwa mashakani.
 
haaaaaah haaaaaaah mnahangaika na cdm weeeeeee badala ya kuhangaika na mizigo ya ccm, cdm hamtaiweza kamwe,sisi tunasonga mbele,nothing can hinder cdm,cdm is with God and its the only rope of hope to Tanzanians.Naipenda cdm toka moyoni real nakwambia wewe simiyu,lukosi na wadudu wengine mnao ipekechua nchi yetu kama mchwa, alama ya vidole viwili ni sign ya victory yaan V hayo mengine ni ulevi wenu tu
Kwa kudhulumu wake wa watu ndio mnasema mpo na Mungu? Magaidi wakubwa nyie nani asiyewajua? Mnadhulumu hadharani mchana kweupe mnasema mpo na Mungu? Ogopeni kutumia jina la Mungu vibaya!!

Babu naye anamungu? Amelisaliti kanisa la bwana atakosa kuwasaliti watanzania? He is more than a spider!!

Chukua hatua chukia Chamdomo
 
Ndugu zanguni,

Zifuatazo ni baadhi tu ya maana ya vidole viwi wanavyotuonyeshaga makamanda

1. Chadema ina viongozi wawili tu maisha, Mbowe na Dr

2. Chadema ina aina mbili ya wanachama, wenye chama (wa kaskazini - priority) na wafuata upepo (wa mikoa mingine- second class)

3. Dr Slaa ana kadi mbili ya chadema na ya CCM

4. Chadema itakuwa always namba mbili kwenye chaguzi

5. Chadema ni kwa ajili Mikoa miwili ya Moshi na Arusha

Maana nyingine mtanisaidia

bth_63701_108420225998779_1665208990_n.jpg

Ina maana ya peace & Love na siyo vingine wewe how
 
We unataka nikuhemee kwenye chogo hilo na huo weupe wako dah mbona mzuka nakukandamiza kisawa sawa.

We jina lako si TIGO? Kwani nimekupa Mimi jina? Njoo Huku kwetu kunabiashara nzuri ya jina lako maana hapa kwetu ni full ghahawa! Mtoto jina Zuri Hilo yakheee
 
Ndugu zanguni,

Zifuatazo ni baadhi tu ya maana ya vidole viwi wanavyotuonyeshaga makamanda

1. Chadema ina viongozi wawili tu maisha, Mbowe na Dr

2. Chadema ina aina mbili ya wanachama, wenye chama (wa kaskazini - priority) na wafuata upepo (wa mikoa mingine- second class)

3. Dr Slaa ana kadi mbili ya chadema na ya CCM

4. Chadema itakuwa always namba mbili kwenye chaguzi

5. Chadema ni kwa ajili Mikoa miwili ya Moshi na Arusha

Maana nyingine mtanisaidia

bth_63701_108420225998779_1665208990_n.jpg

huu ni mojawapo wa upumbavu waMACCM ambao unanifanya nisiwape kura yangu katika maishayangu#
 
We jina lako si TIGO? Kwani nimekupa Mimi jina? Njoo Huku kwetu kunabiashara nzuri ya jina lako maana hapa kwetu ni full ghahawa! Mtoto jina Zuri Hilo yakheee

Mkuu shelui.TIQO amesahau kwamba yeye ni MLIBERALI,kwa hiyo anafaa kuliberaliwa.
 
Alama hiyo kwa watu tuliobobea kwenye fani ya ushirikina tunaijua vizuri sana.Ni alama very popular kwenye uchawi.Mwanga kama yasser arafat wa palestina alikuwa anaitumia sana.Kwenye mambo ya FREEMASON pia alama hiyo wanaijua.Kiongozi fulani wa chama anaitwa FREE nani vile? siyo kifupoi cha Freemason herufi zingine zikiwa zimeachwa.Anyway kuna watu ni wafuasi wa vitu wasivyojua.Hiyo ni sign inayotuimika kwenye satanic rituals.Inawakilisha pembe la ng`ombe pia mnaojua uchawi wa pembe la ng`ombe hapo ni alama ya pembe mbili za ng`ombe lililojificha akikikuoonyeshea anakubamiza nalo.Anyway kama CHADEMA wanajua lile Na huku tunajua lile.
 
1175431_580130688689727_616164269_a.jpg

Elimu yetu yenyewe ya kayumba, wacha tu sasa tujadili vidole, huku tukisubiri miziro mingine mingi mwaka huu, hatuna dira wala mwelekeo masikini ya mungu siye!! Haya unaelewa maana ya dole moja la ccm, kiongozi mzalendo ni mmoja tu THE ORIGINAL JK (father of the nation), wengine wote vibaraka wa mafisadi. usicheke tatizo st kayumba, tutajadili nini tena na akili zetu zenyewe za matope
 
Thread kama hii huletwa tu na wapika majungu na haina maslahi kwa taifa. Na ni mtu asiye na kazi tu ndiyo hufikiria nini cha kuwajibu watu kama hawa,
 
Lukosi,lizabon,simiyu ,mam.. wasingezaliwa wazazi wao wangepatwa kansa ya kizazi kwani ni aina fulani ya ugonjwa ambao tiba yake was only excretion huwa hawana hoja ya maana hata siku moja!Wakati wa uchaguzi utasikia yanalialia kwa hoja za kitoto ili kutafuta huruma.Inakuwaje chama kilichokaa na waTZ kuliko vingine unakataliwa ,alafu unakuja na hoja za kijinga eti cha kikanda na kidini!Basi CCM nacho ni cha kidini pia uwizi!
 
Justification ya buku 7 & 7 - lazima ujifanye hamnazo.
 
Back
Top Bottom