Nini maama ya vidole viwili (The 'V' sign)?

Nini maama ya vidole viwili (The 'V' sign)?

mkuu wewe unajua kiwangu changu cha kumpenda Mungu? Maswali yangu ungeyajibu kwanza

kiwango cha kumpenda Mungu kwa mtu anayependa ccm ni 0% kwa 7bu mtu anayependa mambo ya uovu na yeye ni mtenda maovu.
Jibu ndo hilo!
 
watanzania wanataka AMANI...kamanda alama ya v nialama ya uahindi blue ni rutuba red ni ubinadamu wetu na black ni uwafrika wetu kamanda na kuhusu kubadilika kwa bendera na kadi tulibadilisha 2006 wakati tulivyofanya marekebisho ya katiba yetu ndipo tulipo badili mwanzo kadi ilikua ya light blue. nafaikiri kwakiasi hicho nitakua nimekuridhisha kamanda.
 
habar zenu wana jf. Natumain nyote ni wazima wa afya. Leo nilikuwa nashuhudia kampen zinazoendelea katika chaguzi hizi za serikali za mitaa huku kwetu kigoma, ghafla jamaa mmoja akamuuliza mgombea uenyekiti wa chadema amwambie maana ya ishara ya vidole viwili inayotumiwa na chadema hapo vumbi likatimka na majibu sahihi hayakujulikana. Sasa swala hili limenichanganya. Jaman nini maana ya vidole viwili vitumiwavyo na chadema? Nawasilisha!
 
Unasoma darasa la ngapi? Maana tusijekua tunapoteza muda humu kujibu hoja za watoto wa msingi.
 
Vidole viwili ni mambo mawili DEMOKRASIA na MAENDELEO.
Thread closed.
 
Vidole viwili vinamanisha mafala wawili mbowe na slaa,red inamanisha uuaji na ukatili walio nao,white ni unafiki walionao, na black ni watu weusi watakaofata ujinga wao. Nadhani umeelewaa mwanajamii
 
mbona mnaifunga thread yangu??? Jaman hivi tabia gan hizi???
 
habar zenu wana jf. Natumain nyote ni wazima wa afya. Leo nilikuwa nashuhudia kampen zinazoendelea katika chaguzi hizi za serikali za mitaa huku kwetu kigoma, ghafla jamaa mmoja akamuuliza mgombea uenyekiti wa chadema amwambie maana ya ishara ya vidole viwili inayotumiwa na chadema hapo vumbi likatimka na majibu sahihi hayakujulikana. Sasa swala hili limenichanganya. Jaman nini maana ya vidole viwili vitumiwavyo na chadema? Nawasilisha!
1. Bendera ya CHADEMA ina rangi nne: Nyeusi, Bluu isiyokoza (light blue), nyeupe na nyekundu.
2. Bendera ya CHADEMA ina nembo ya kiganja cha mkono kilichonyoosha vidole viwili katika mfumo wa V kama ishara ya USHINDI. CHADEMA ni chama kinacholenga kushinda kidemokrasia na hatimaye kuleta ushindi wa maendeleo ya taifa.

Miaka mingi iliyopita,Jemedari wa vita toka Urumi(Roma) Julius Caiser aliwavamia maadui zake na kuwapga kwa kusafil umbali mrefu,alipofika ktk himaya ya adui aliua na kuteketeza kila kilicho cha adui..kufikisha ujumbe kwa walio Rome na Senator J.Caiser alisema "Veni,Vidi,Vici" = "I came,I saw,I conquered".. Hii ndo ikawa alama ya ushindi,na J.Caiser alipopita mbele za watu alikunja vidole kwa alama ya V kama tafsiri ya ushindi,na askari wote waliopgana ktk vita hvyo waliwekewa alama ya "V" tatu ktk mabega yao kama alama ya ushujaa,na t oka hapo V ikawa alama ya cheo ktk jeshi...

3. Rangi ya BLUU ISIYOKOZA iko juu ya rangi NYEKUNDU kama ishara kwamba kama taifa tumevushwa na mashujaa kuelekea katika jamii yenye haki, na wakati wote CHADEMA imevuka hatua kama chama cha siasa na sasa inasimamia haki.
4. Rangi nyeupe iko mbele ya rangi zote kama ishara kwamba chama kinatanguliza UKWELI NA UWAZI katika nyanja zote. Pia rangi nyeupi imebeba nembo ya chama kwa kuwa UKWELI NA UWAZI ni misingi muhimu sana kwa chama. Nembo ya chama iko mbele kama kama ishara ya CHADEMA kuwa chama kiongozi katika kuchochea misingi muhimu katika kuleta mabadiliko na maendeleo katika Taifa.
5. Rangi zingine zinatenganishwa na ufito mweusi ambao unaumbo la “T” ikiwasilisha kifupi cha jina la taifa la Tanzania.

Rangi za Bendera
NYEUSI
Rangi hii inawakilisha WATU WA TANZANIA. Hii ni rangi ya wazawa asili wa nchi yetu. Ni rangi ambayo inabeba pia falsafa ya NGUVU YA UMMA.
BLUU ISIYOKOZA (LIGHT BLUE)
Hii ni rangi ya asili ya CHADEMA. Ni rangi ambayo inawasilisha HAKI. Lakini pia rangi hiyo inawakilisha BAHARI kama ishara ya maliasili/raslimaji na Muungano kati ya Tanganyika na Zanzibar.
NYEUPE
Rangi nyeupe inawasilisha UKWELI, UWAZI na AMANI. Huu ni msingi muhimu wa CHADEMA. CHADEMA ni chama ambacho kitasimamia uadilifu kwa njia ya demokrasia.
NYEKUNDU
Rangi nyekundu inawakilisha MASHUJAA. CHADEMA inathamini historia ya nchi yetu ambayo inawasilisha kumbukumbu ya mashujaa waliotupitisha katika michakato ya mbalimbali ya demokrasia na maendeleo ikiwemo harakati za kuondoa ukoloni. Rangi hii ni chimbuko la uzalendo wetu.
 
Nimeona Mara nyingi kwenye picha vijana wanaonyesha vidole viwili kwa namna moja Ana nyingine. Maana yake ni nini?? Zamani wakati wa freedom fighters, kuonyesha vidole viwili kwa Alama ta 'V' ilikuwa na maana ya USHINDI "VICTORY". Sasa hivi hivi vidole wanaonyesha Hutu na kule kwa Kweli sielewi maana yake ni nini. Naomba mnielimishe.
 
Attachments

  • image.jpg
    image.jpg
    79.2 KB · Views: 289
habar zenu wana jf. Natumain nyote ni wazima wa afya. Leo nilikuwa nashuhudia kampen zinazoendelea katika chaguzi hizi za serikali za mitaa huku kwetu kigoma, ghafla jamaa mmoja akamuuliza mgombea uenyekiti wa chadema amwambie maana ya ishara ya vidole viwili inayotumiwa na chadema hapo vumbi likatimka na majibu sahihi hayakujulikana. Sasa swala hili limenichanganya. Jaman nini maana ya vidole viwili vitumiwavyo na chadema? Nawasilisha!

V:stand 4 Victory!
 
Asanteni sana kwa michango yenu, appreciate.
 
attachment.php
attachment.php
attachment.php

Waungwana wanajf nawasalimu kwanza...mimi ni mwanachama mpya wa chadema lakini kuna vitu vikubwa viwili sivielewi ,
1-logo ya chadema ya vidole viwili ina maana gani?na nani aliamua iwekwe pale?

2-rangi katika bendera ya chadema ile blue,white na red zina mana gani?na kabla ya hapo walikuwa na rangi zipi ktk bendera yao.

Mkuu wa jamvi nawasilisha kwa uchambuzi yakinifu ndani ya jf.

ume tumwa
 
Back
Top Bottom