Safari_ni_Safari
JF-Expert Member
- Oct 5, 2007
- 23,265
- 17,135
Mtu anaishi US, pesa ameipata US, kodi ilipwe Tanzania ili iweje?.
Diasphora ikishakuwa in place, tutaweza kupata angalau urari wa money transfer kuja home, kodi inakatwa huko huko fedha zinakotoka, msaada kwa Tanzania, utapimwa kwa jumla ya kiasi cha fedha as forex gain na chochote fedha hizo zitakafanyia nchini, zitakatwa 18% VAT kwenye expenditure hivyo serikali itapata kodi.
You should have been an Attorney if you aren't