idawa
JF-Expert Member
- Jan 20, 2012
- 25,284
- 38,312
- Naona watu wamekujibu vizuri sana wala sina la kuongeza wala kupunguza ila nakuonea huruma sana, kwanza kule Facebook uliniomba na wewe unawataka wasichana ninao hangout nao, uka-misbehave niKAku-delete sasa umehamia huku na maneno kama haya, pole sana mkuu!! Halafu angalia usije ukavalishwa shanga kiunoni mjini hapa maana sijawahi kulipwa hizo hela ulizosema, huo ndio ushambenga ambao wanaume huwa wanaishia kuvalishjwa shanga na kanga mjini hapa!!
- Karibu siku ya Jumamosi ijayo nimealikwa kuhutubia Mkutano wa Viongozi wa Makanisa nchini kule Ubungo, na Jumamosi ya keshokustwa nitakuwa Obey kuendesha Fundraising ya watoto wa Yatima Dodoma, leo nitakuwa Radio Classic FM kuchambua tena siasa za Taifa,
- FINALLY, NIMEELEWA MAANA YA MANENO YA MKOSAJI!!
LE MUTUZ BIIIG SHOOW!!
hao viongozi wa kanisa bora kama hawapiti humu ndani..!!!