Nini kinamsibu William John Malecela?




Nimefuatilia kwa karibu mwenendo wa rafiki yetu William John Malecela katika mitandao mbalimbali ya kijamii na kushindwa kutoa hitimisho juu ya nini kinachomsibu kwa sasa. Nilimfahamu William kama msomi mzuri tena wa sayansi ya mambo ya bahari, kijana mwenye maono yanayolingana na ya baba yake mzee John Samwel Malecela ambaye sikuwa na shaka angefuata nyayo za uongozi kutoka kwa baba yake. Ninayoona kwenye mitandao mbalimbali ya kijamii siamini kama ni mambo yanayofanywa na william niliyemfahamu. William alikuwa New york city anafanya kazi nzuri sana inayompa mshahara si chini ya dola 10,000 kwa mwezi leo hii nakuja kusikia yuko hapa anazunguka tu na kupiga picha na vischana je nini hasa kimemtokea william? maoni yake mbalimbali humu JF yanaashiria ni kama mtu aliyekata tamaa je tufanyeje kumsaidia ndugu yetu huyu ili arudi kwenye hali yake ya kawaida? naongea kwa dhati na asitokee mtu hata mmoja kupinga hoja hii
 
Back
Top Bottom