Nini kinafanywa kwenye mnara wa askari Dar?

Ila wasije wakamtoa huyo jamaa maana sisi wengine tukitoka huku Bungu tukifika mjini huyo jamaa anakuwa Alama kubwa sana huwezi kupotea kufika ofisi ya mjomba

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Wanaweka uzio wamachinga wasiuvamie na kutandaza biashara zao... Maana wameruhusiwa popote wauze even nje ya ikulu
 
Wanajeshi Mungu anawaona.....akiwa Mkuu wa Jitegemee Secondary,Afande Mkisi tulimuomba sisi wanafunzi wa form one na two tuvae suruale....jibu lake ataturuhusu siku yule askari pale samora akivaa suruale
Lol. Khaaaaa
 
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38]
 
Wanajeshi Mungu anawaona.....akiwa Mkuu wa Jitegemee Secondary,Afande Mkisi tulimuomba sisi wanafunzi wa form one na two tuvae suruale....jibu lake ataturuhusu siku yule askari pale samora akivaa suruale

Labda ndo wanataka kumvisha mkuu. Hahah.

Lol.
 
Tumeamua kuyafanyia kazi mawazo ya mtunga sheria wetu na tunamuweka yule baba kijacho hapo
 
Wanabadilisha sura wantaka kuweka ya bashite....just wait
 
Back
Top Bottom