GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 56,551
- 108,888
Baada ya ' Trafiki ' kuona ' mapato ' yanaongezeka mno kutokana na ' makosa ' mengi ya barabarani unaotokana na ' uzembe ' wa madereva hasa wa ' madaladala ' sasa wameamua kuweka hayo ' mabati ' ili kila sekunde, dakika na saa muwe mnagonga kisha mnakamatwa na kulipishwa ' fine ' kubwa tu.
Estimation ya haraka haraka iliyofanyika hapo ni kwamba kwa siku patakuwa ' panagongwa ' na madereva wa ' madaladala ' mara 500 kutokana na palivyokuwa ' rafiki ' kugongwa na kila kosa hapo litaanzia Tsh 50,000/ hadi Tsh 100,000/ hivyo piga hesabu zako tu hapo kwa siku ' Trafiki ' watakuwa ' wanakusanya ' kiasi gani hapo ndipo utapata jibu ' mujarab ' kabisa na kwanini sasa kinawekwa hivyo.