Nini kinafanywa kwenye mnara wa askari Dar?

Nini kinafanywa kwenye mnara wa askari Dar?

Anawekwa faru John huyo askari kawa muhuni anatoroka hapo usiku kila siku anaenda disco anarudi asubuhi kalewa kuna siku alipata mchepuko hakurudi na simu akazima.
Nasikia ukimuona tu katoka ujue ni huyu mtoto ndio anamtesa
Funny-Statue-Of-Liberty-In-Bikini.jpg
 
Tuko hapa tuna-design sanamu la Diamond naamini kufikia keshokutwa tutakuwa tumelipandisha hapo!
 
Labda amestaafu au anatumbuliwa.......tih tih tih.....
 
Anawekwa faru John huyo askari kawa muhuni anatoroka hapo usiku kila siku anaenda disco anarudi asubuhi kalewa kuna siku alipata mchepuko hakurudi na simu akazima.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Anawekwa faru John huyo askari kawa muhuni anatoroka hapo usiku kila siku anaenda disco anarudi asubuhi kalewa kuna siku alipata mchepuko hakurudi na simu akazima.
Watu mna mambo!! [emoji2] [emoji2] [emoji2]
 
Labda wanamuogesha sasa wameweka choo cha mabati kumstir wakimvua nguo aoge.
 
Ujenzi umeisha au bado kwa aliyepita apo kwenye askari
 
Anawekwa faru John huyo askari kawa muhuni anatoroka hapo usiku kila siku anaenda disco anarudi asubuhi kalewa kuna siku alipata mchepuko hakurudi na simu akazima.
Ha ha ha ha! Asante ndugu kwa kuifanya siku yangu iende vema.
 
Umri acha akapumzike amekaa hapo siku nyingi nadhani karibu awamu zote, kila chenye mwanzo kina mwisho wake, wapi ottoman? Sembuse bisman!.
 
Wadau habarini za mchana,

Ebwana nipo mitaa ya Posta mpya karibu na huu mnara wa askari aliyeshikilia SMG tayari kwa mapambano ukizungushiwa uzio wa mabati, sasa sielewi ni nini maana yake, embu tu juzane kwa mnao fahamu hili jamani. Sio vibaya tukijua kinacho endelea wakuu.

Na wakilisha.

1481199436768-jpg.443869
Hapo watakuwa wanabomoa hilo sanamu la Mwanajeshi waweke sanamu la Diamond Platnum kama alivyopendekeza yule Muheshimiwa Mbunge....
 
Back
Top Bottom