Nini kinaendelea ndani ya jengo la China Plaza?

Nini kinaendelea ndani ya jengo la China Plaza?

Kuna mmoja anauza kava za simu tu hapo china plaza lakini ana miliki V8 na Kodi ya hapo analipa vizuri kabisa.
Unajiuliza imekuwaje dogo ghafla winga ghafla anafungua fremu kali ghafla safari za dubenga kufuata mizigo ghafla anajenga heee ghafla gari kali unajiuliza wewe unakosea wapi kumbe vijana wana siri zao bana na maduka yao ya simu
 
Hivi karibuni hili jengo limekuwa gumzo sana hapo Dar

Nini kinaendelea humo nasikia majanja na mawinga wa Kariakoo huwaambii kitu na huo mjengo inapohusu kutoboa kibiashara

Mara kuna habari wafanyabiashara nje ya China Plaza wamepigwa

Huku wengine wanapigwa wengine wanafanikiwa kwa njia wanazojua wenyewe hapohapo



View attachment 3529757
Nini kinaendelea humu?
Udalai mwingi kuliko wenye biashar zao ndani mle
 
Unajiuliza imekuwaje dogo ghafla winga ghafla anafungua fremu kali ghafla safari za dubenga kufuata mizigo gafla anajenga heee gbafla gari kali unajiuliza wewe unakosea wapi kumbe vijana wana siri zao bana na maduka yao ya simu
Wakiona biashara ya simu tumeshtuka watahamia kwingine soon, ubaya wa vijana Tz akili ni finyu sana.
 
Back
Top Bottom