mtu anayechukua chumba kwa ajili ya kutengeneza simu pale tayari ni tajiriHuyo Chawa kilaza nae ni wa kumuamini?🚮
Unatakaje?Kwani jicho pori lina gharama sana hadi unaweza kupewa range?
Mambo yako haya mwanaharakati wa kutetea ushogaSio kila shoga ni chawa, em muwe mnaheshimu sexual orientation za watu.
Mxxxxxiiiiiieeeew
Kupeleleza ama kutafuta umbea?Twende tukapeleleze live.
Kobaz wanamkubali Yesu kuwa ni Mungu.Kuna nini kwani
Mbamizwa kobaa cc Poor Brain
Unaongea utumbo gani wewe?mtu anayechukua chumba kwa ajili ya kutengeneza simu pale tayari ni tajiri
Kuna masikini anaweza kulipia kikorido shs milioni moja kwa mwezi?
Ninamaanisha, anayefungua pale kaenda kuangalia fursa ila tayari ni tajiri....
inategemea na aina ya matajiri wanaozunguka eneo husika,nilishaenda bagamoyo nkaambiwa vijana wanatolewa sana kafara mbali huko baharini ili matajiri warudi na samaki nuingi wapige pesa,migodini hali kadhalika yani kila sehemu yenye matajiri ina namna yake.Kwani jicho pori lina gharama sana hadi unaweza kupewa range?
mungu kafaKobaz wanamkubali Yesu kuwa ni Mungu.
Mbn huyu ana viashiria vyote vya ndugu yetu, kipenzi chetu Hussain Ali akiutetea 🥺 cc Busu la Kenge
HahahahahaaaaaMbn huyu ana viashiria vyote vya ndugu yetu, kipenzi chetu Hussain Ali akiutetea 🥺 cc Busu la Kenge
Vibaya mnoEeeh!!!! wanaphili-Car
Mambo yao waachie wenyewe