Nini kinachokutofautisha wewe na wasichana wengine

Nini kinachokutofautisha wewe na wasichana wengine

Ndo hiyo ya ukali, maana hata mzazi wangu ambae naamini hawez niongopea anasema mm mkali
Okay Jane, unabidi ufanye kazi ya kujua ni nini kinafanya uwe mkali, kwasababu hiyo ni ishara ya kitu fulani ambacho unabidi ukijue.
 
hapo ambapo mnaweza kujishusha hata kama hamjakosea huwa mnafanyeje?

pls ianzishwe topic kuhusu hili ili nielewe maana hata sielewi vzr.

teh teh
Nitakufundisha siku tukiwa wote beibiiiiiiiiiiiiii
 
Back
Top Bottom