Jane Msowoya
JF-Expert Member
- Aug 20, 2017
- 5,055
- 9,695
Ajabu mtu kutojua kama ameolewa au laHata sijui
invest what you are willing to loose
Dada yangu,
Ndo hivyo mkuuAjabu mtu kutojua kama ameolewa au la
OkNdo hivyo mkuu
invest what you are willing to loose
NimejifunzaDada yangu,
Nimejizuia kuongea lakini nimeshindwa.
Nimesoma point yako "naweza kunako sita kwa sita" ikanisikitisha.
Dunia imewaaminisha vibaya. Ni kweli kuna msemo usemao 'men want a whore in bed'
Lakini usikae usahau hao wanaume want to make her/teach her to be 'his' whore. Wanaume wangekuwa wanapenda wanawake wazuri kunako sita kwa sita tungeoa malaya. Tungeoa wanenguaji...ila why not? Because tunataka sisi ndo tuwe tumewafanya whores in bed.
Ushauri na ombi langu kwako...usiseme tena hivyo kwa mwanaume ambaye una nia ya muda mrefu na yeye. Sawa ulishapitia hayo kabla na unajua all thise styles..we dont mind, just dont brag about it.
Yangu ni hayo tu...ubarikiwe sana!
NB: if you could reall ask these brothers waliolike your comment, waliokupm, au walioku quote kuwa wewe ndo mke...watakuambia walichovutiwa nacho ni hiyo sifa uliyojipa ya tatu...na hakuna hata mmojs atakayekiri yuko tayari kukuoa.
Kitu pekee mwanaume alichosoma hapo ni; I am easy...av done it enough and you can try.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ahsante, ila hapa sitafuti mume na hakuna wa kunipata humu kwa njia yoyote, sijawahi shawishika kwa maneno, na sipo tayari kujieleza ili nipate mume, ila nimejibu swali lililoulizwa hapa, kwanza humu sijawahi fatwa pm na mwanamme na kuruhusu maongezi ya mapenzi, natumia mitandao kujifurahisha na kuelimika tu na si vinginevyoDada yangu,
Nimejizuia kuongea lakini nimeshindwa.
Nimesoma point yako "naweza kunako sita kwa sita" ikanisikitisha.
Dunia imewaaminisha vibaya. Ni kweli kuna msemo usemao 'men want a whore in bed'
Lakini usikae usahau hao wanaume want to make her/teach her to be 'his' whore. Wanaume wangekuwa wanapenda wanawake wazuri kunako sita kwa sita tungeoa malaya. Tungeoa wanenguaji...ila why not? Because tunataka sisi ndo tuwe tumewafanya whores in bed.
Ushauri na ombi langu kwako...usiseme tena hivyo kwa mwanaume ambaye una nia ya muda mrefu na yeye. Sawa ulishapitia hayo kabla na unajua all thise styles..we dont mind, just dont brag about it.
Yangu ni hayo tu...ubarikiwe sana!
NB: if you could reall ask these brothers waliolike your comment, waliokupm, au walioku quote kuwa wewe ndo mke...watakuambia walichovutiwa nacho ni hiyo sifa uliyojipa ya tatu...na hakuna hata mmojs atakayekiri yuko tayari kukuoa.
Kitu pekee mwanaume alichosoma hapo ni; I am easy...av done it enough and you can try.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mtu huwezi kuolewa coz u gud in bed NOUnajuaje uko mzuri kwenye 6×6? Na kama ni mzuri kihivyo mbona hao woo-o-te wanaokwambia unafaa sana kwenye hayo mambo wasikuoe hata mmoja wao? Hujui wanaweza kuwa wanakwambia kinyume?
Sent using Jamii Forums mobile app
Naomba uniambie kwann upo tofauti na girls wenzako?Hivi ni nini kinachokutofautisha wewe na wasichana wengine au ni vitu gani vitatu ambavyo unauhakika mwanaume atavipenda kwako,tafadhari usiniambie uzuri"
Kama umeelewa naomba jibu kama ujaelewa uliza
nimekupataNaomba uniambie kwann upo tofauti na girls wenzako?
Jibu swalinimekupata
Nashukuru kama umeandika tu kufurahisha genge.Ahsante, ila hapa sitafuti mume na hakuna wa kunipata humu kwa njia yoyote, sijawahi shawishika kwa maneno, na sipo tayari kujieleza ili nipate mume, ila nimejibu swali lililoulizwa hapa, kwanza humu sijawahi fatwa pm na mwanamme na kuruhusu maongezi ya mapenzi, natumia mitandao kujifurahisha na kuelimika tu na si vinginevyo
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaahaa,, ok thanksNashukuru kama umeandika tu kufurahisha genge.
Nami naomba nimalizie kwa misemo michache ya wahenga;
1. Men are visual beings and women are hearing beings. ALWAYS..has been, is, will be! The secret - time and patience will sift the truth. Denying that fact will not help (and hapa naandika just generally to all ladies) ila kujijua and working on making sure that doesnt become your pitfall.
2. Kimtokacho mtu ndicho kilichomjaza moyo wake. This is another fact. We can hide behind he screens of our phones and computers. We can finish our sentences with 'I was just joking'. But always behind the 'joke' there is some 'truth' in it.
All the best dada yangu and all ladies here...date smartly!
Sent using Jamii Forums mobile app
Sema wew kwa niaba yao
yDada yangu,
Nimejizuia kuongea lakini nimeshindwa.
Nimesoma point yako "naweza kunako sita kwa sita" ikanisikitisha.
Dunia imewaaminisha vibaya. Ni kweli kuna msemo usemao 'men want a whore in bed'
Lakini usikae usahau hao wanaume want to make her/teach her to be 'his' whore. Wanaume wangekuwa wanapenda wanawake wazuri kunako sita kwa sita tungeoa malaya. Tungeoa wanenguaji...ila why not? Because tunataka sisi ndo tuwe tumewafanya whores in bed.
Ushauri na ombi langu kwako...usiseme tena hivyo kwa mwanaume ambaye una nia ya muda mrefu na yeye. Sawa ulishapitia hayo kabla na unajua all thise styles..we dont mind, just dont brag about it.
Yangu ni hayo tu...ubarikiwe sana!
NB: if you could reall ask these brothers waliolike your comment, waliokupm, au walioku quote kuwa wewe ndo mke...watakuambia walichovutiwa nacho ni hiyo sifa uliyojipa ya tatu...na hakuna hata mmojs atakayekiri yuko tayari kukuoa.
Kitu pekee mwanaume alichosoma hapo ni; I am easy...av done it enough and you can try.
Sent using Jamii Forums mobile app
yaani Mentor unanifurahisha na comments zako...pata kitochiNashukuru kama umeandika tu kufurahisha genge.
Nami naomba nimalizie kwa misemo michache ya wahenga;
1. Men are visual beings and women are hearing beings. ALWAYS..has been, is, will be! The secret - time and patience will sift the truth. Denying that fact will not help (and hapa naandika just generally to all ladies) ila kujijua and working on making sure that doesnt become your pitfall.
2. Kimtokacho mtu ndicho kilichomjaza moyo wake. This is another fact. We can hide behind he screens of our phones and computers. We can finish our sentences with 'I was just joking'. But always behind the 'joke' there is some 'truth' in it.
All the best dada yangu and all ladies here...date smartly!
Sent using Jamii Forums mobile app
Shkamo mkuu... Nafikiri hii ni comment bora nilosoma leo.... Nimejikuta nataka kulia kwa hizo busara.... Barikiwa mkuuDada yangu,