Nini kinachokutofautisha wewe na wasichana wengine

Nini kinachokutofautisha wewe na wasichana wengine

Ahsante, ila hapa sitafuti mume na hakuna wa kunipata humu kwa njia yoyote, sijawahi shawishika kwa maneno, na sipo tayari kujieleza ili nipate mume, ila nimejibu swali lililoulizwa hapa, kwanza humu sijawahi fatwa pm na mwanamme na kuruhusu maongezi ya mapenzi, natumia mitandao kujifurahisha na kuelimika tu na si vinginevyo

Sent using Jamii Forums mobile app
This is what you should say, sikutarajia useme tofauti.
 
Msafi
care
rahisi kujishusha hata kama sijakosea.
Upendo
mkali kiasi.
hapo ambapo mnaweza kujishusha hata kama hamjakosea huwa mnafanyeje?

pls ianzishwe topic kuhusu hili ili nielewe maana hata sielewi vzr.

teh teh
 
Dada yangu,
Nimejizuia kuongea lakini nime
Nimesoma point yako "naweza kunako sita kwa sita" ikanisikitisha.

Dunia imewaaminisha vibaya. Ni kweli kuna msemo usemao 'men want a freak in bed and a lady in the street'

Lakini usikae usahau hao wanaume want to be the one to make her/teach her to be 'his' freak. Wanaume wangekuwa wanapenda wanawake wazuri kunako sita kwa sita tungeoa malaya. Tungeoa wanenguaji...ila why not? Because tunataka sisi ndo tuwe tumewafanya freaks in bed.

Ushauri na ombi langu kwako...usiseme tena hivyo kwa mwanaume ambaye una nia ya muda mrefu na yeye. Sawa ulishapitia hayo kabla na unajua all these styles..we dont mind, just dont brag about it.

Yangu ni hayo tu...ubarikiwe sana!

NB: if you could really ask these brothers waliolike your comment, waliokupm, au walioku quote kuwa wewe ndo mke...watakuambia walichovutiwa nacho ni hiyo sifa uliyojipa ya tatu...na hakuna hata mmoja atakayekiri yuko tayari kukuoa.
Kitu pekee mwanaume alichosoma hapo ni; I am easy...I have done it enough and you can try.

Sent using Jamii Forums mobile app
hivi kabla ya kuoa huwa mnachunguza sana eeeeh
acha niwe napangilia maneno yangu maana duuuh
teh teh
 
Back
Top Bottom