Safii, now this is a catch! Kuna ubaya nkitokea pm?Crazy
Stubborn
Very loving
Hapo mwisho ndio pamenifanya kukupenda zaidi.Msafi
care
rahisi kujishusha hata kama sijakosea.
Upendo
mkali kiasi.
Mbona kama ni ngumu duuuhmaana yake unajishusha yaishe hili kuepusha kelele
Hivi uliniita?Beibi
HayaNitakufundisha siku tukiwa wote beibiiiiiiiiiiiiii
mi sijaelewaHivi ni nini kinachokutofautisha wewe na wasichana wengine au ni vitu gani vitatu ambavyo unauhakika mwanaume atavipenda kwako,tafadhari usiniambie uzuri"
Kama umeelewa naomba jibu kama ujaelewa uliza
we ni mwanamke?mi sijaelewa
Hahaaa wewe inabidi tukutane wewe pengene tutaendana. Japo nipo kwenye maombi kuondoa hii TabiaYani mkali
Mkali
Mkorofi, sijui nielezeje ila mm mkali kwakweli hadi muda mwingine najishtukia
invest what you are willing to loose
wengine wagumu kuomba msamaha. ingawa simahanishi kila kitu ujishushe kah atakukuona mjinga tuMbona kama ni ngumu duuuh
Mm napenda akikosa hata yeye aseme samahani jmn
the teh nikiwa mkali uogopi?Hapo mwisho ndio pamenifanya kukupenda zaidi.
Nmeipenda hii...! [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
ndo nilienda huko daaah, bora umenifungua macho, niliwaza sikupata majibuwengine wagumu kuomba msamaha. ingawa simahanishi kila kitu ujishushe kah atakukuona mjinga tu
Haswaa maana nikiwa nimekosea hutosita kusema tena kwa ukali.the teh nikiwa mkali uogopi?
Mimi siondoi kwani ndo uyunik wanguHahaaa wewe inabidi tukutane wewe pengene tutaendana. Japo nipo kwenye maombi kuondoa hii Tabia
Wooow! you are the MENTOR.....Nashukuru kama umeandika tu kufurahisha genge.
Nami naomba nimalizie kwa misemo michache ya wahenga;
1. Men are visual beings and women are hearing beings. ALWAYS..has been, is, will be! The secret - time and patience will sift the truth. Denying that fact will not help (and hapa naandika just generally to all ladies) ila kujijua and working on making sure that doesnt become your pitfall.
2. Kimtokacho mtu ndicho kilichomjaza moyo wake. This is another fact. We can hide behind he screens of our phones and computers. We can finish our sentences with 'I was just joking'. But always behind the 'joke' there is some 'truth' in it.
All the best dada yangu and all ladies here...date smartly!
Sent using Jamii Forums mobile app
This is the post of the months. Big up mkuu, we still have some intelligent guys in here,yeah?Dada yangu,
Nimejizuia kuongea lakini nimeshindwa.
Nimesoma point yako "naweza kunako sita kwa sita" ikanisikitisha.
Dunia imewaaminisha vibaya. Ni kweli kuna msemo usemao 'men want a freak in bed and a lady in the street'
Lakini usikae usahau hao wanaume want to be the one to make her/teach her to be 'his' freak. Wanaume wangekuwa wanapenda wanawake wazuri kunako sita kwa sita tungeoa malaya. Tungeoa wanenguaji...ila why not? Because tunataka sisi ndo tuwe tumewafanya freaks in bed.
Ushauri na ombi langu kwako...usiseme tena hivyo kwa mwanaume ambaye una nia ya muda mrefu na yeye. Sawa ulishapitia hayo kabla na unajua all these styles..we dont mind, just dont brag about it.
Yangu ni hayo tu...ubarikiwe sana!
NB: if you could really ask these brothers waliolike your comment, waliokupm, au walioku quote kuwa wewe ndo mke...watakuambia walichovutiwa nacho ni hiyo sifa uliyojipa ya tatu...na hakuna hata mmoja atakayekiri yuko tayari kukuoa.
Kitu pekee mwanaume alichosoma hapo ni; I am easy...I have done it enough and you can try.
Sent using Jamii Forums mobile app