Princess qute
JF-Expert Member
- Jul 16, 2016
- 621
- 552
Aya haina shida me nipo until July 2019Bas soma kwanza ukimaliza utanambia nikuoe mimi ni msukuma nitatoa ng'ombe 200
Aya haina shida me nipo until July 2019Bas soma kwanza ukimaliza utanambia nikuoe mimi ni msukuma nitatoa ng'ombe 200
uwe sasa unakuja pm hata mara moja moja wewe ni kabila ganAya haina shida me nipo until July 2019
Lakin mimi sijasoma usiwe unaniongelesha kizungu kila time utakuwa unaniacha bashite bashiteAya haina shida me nipo until July 2019
Mm ni mrangiuwe sasa unakuja pm hata mara moja moja wewe ni kabila gan
DisqualifiedLakin mimi sijasoma usiwe unaniongelesha kizungu kila time utakuwa unaniacha bashite bashite
Hata dhambi hauna?Hukumbuki hata shuleni mwl. Anauliza mention 3 causes of soil erosion we huna hata moja mwenzio anataja sita.
Sasa ndomimi. Mi wakawaida sina chaziada
Sent using Jamii Forums mobile app
UmeshaniuzaDisqualified
Bas sawa ukiwa unashida ndogo ndogo za pesa kama elf 50 au 20 usiwe unasita kunichekMm ni mrangi
Sifa kuu sipend kuomba pesaBas sawa ukiwa unashida ndogo ndogo za pesa kama elf 50 au 20 usiwe unasita kunichek
Jaman naomba usahihi wa "until July 2019" Natandika jamvi niweze fahamishwaAya haina shida me nipo until July 2019
Mkuu nimekuPM tuyajenge[emoji3][emoji3]Sifa kuu sipend kuomba pesa
I'm qualifiedDisqualified
Mbona hujataja chura?.....au haipo??[emoji32][emoji32][emoji32]
Lyrics kali Sana hiziDada yangu,
Nimejizuia kuongea lakini nimeshindwa.
Nimesoma point yako "naweza kunako sita kwa sita" ikanisikitisha.
Dunia imewaaminisha vibaya. Ni kweli kuna msemo usemao 'men want a freak in bed and a lady in the street'
Lakini usikae usahau hao wanaume want to be the one to make her/teach her to be 'his' freak. Wanaume wangekuwa wanapenda wanawake wazuri kunako sita kwa sita tungeoa malaya. Tungeoa wanenguaji...ila why not? Because tunataka sisi ndo tuwe tumewafanya freaks in bed.
Ushauri na ombi langu kwako...usiseme tena hivyo kwa mwanaume ambaye una nia ya muda mrefu na yeye. Sawa ulishapitia hayo kabla na unajua all these styles..we dont mind, just dont brag about it.
Yangu ni hayo tu...ubarikiwe sana!
NB: if you could really ask these brothers waliolike your comment, waliokupm, au walioku quote kuwa wewe ndo mke...watakuambia walichovutiwa nacho ni hiyo sifa uliyojipa ya tatu...na hakuna hata mmoja atakayekiri yuko tayari kukuoa.
Kitu pekee mwanaume alichosoma hapo ni; I am easy...I have done it enough and you can try.
Sent using Jamii Forums mobile app
kama ndo hivo bas ni vizur sana nitakusubil had huo mwaka ulioutaja usijal kabisaSifa kuu sipend kuomba pesa
Kama wewe mnyenyekevu aliye kupata nampa hongeraMvumilivu na mnyenyekevu
short tempered !???? [emoji33] au hujasoma uzi post vizuri ukaishia kusoma kichwa cha habariNina heshima
Mvumilivu
Short tempered