Lu-ma-ga,
Let me help you my friend like this. Agano la Kale ilikuwa ni kivuli cha Agano Jipya. Kina Musa walikuwa wakimweleleza Yesu Kristo wakati wa kuwakomboa Wana Israel toka Misri( Utumwani) kuwapeleka nchi ya ahadi Kanani. Yesu Kristo alipokuja kuukomboa Ulimwengu, Mungu aliagiza tumwangalie Yeye pekee kwa ajili ya Wokovu wetu toka dhambini kwa ajili ya kwenda nchi ya ahadi(Mbinguni).
" Kwa maana jinsi hii Mungu aliupenda ulimwengu hata akamtoa mwanawe wa pekee ili kila amwaminiye asipotee baali awe na uzima wa milele" Yohana 3:16.
Bado Biblia inasistiza kwamba,
" Kwa neno au kwa tendo fanyeni kwa Jina la Yesu Kristo"
Wakolosai 3:17.
Hivo basi kujidanganya kuwa Mungu anaweza kusikia maombi ya mtu kupitia Rozali au Bikira Maria ni upotoshaji wa Neno la Mungu. Hayo ni mafundisho ya KIPAGANI ambayo kanisa Katoliki waliyaingiza kanisani kwa interest zao kama ilivyo Krismasi leo hii!
Haya mafundisho hayako mahali popote kwenye Biblia. Hakuna aya imetaja kusali Rozali, hakuna Bikira Maria utuombee wala hakuna Krismasi kuwa Yesu alizaliwa tarehe 25 Desemba mahali popote!!!Mwulize Padre, Kardinali, Askofu au Papa hawana maandiko! That was just Pagan Rome mixed with Christianity in years 320s!
Rozali ni sawa tu na hirzi kama hirizi yoyote. Kamwe Mungu hayuko kwenye ibada za sanamu na watu! Biblia insema,
"Amelaaniwa mtu yule amtegemeaye mwanadamu. Amfanyaye mwanadamu kuwa kinga yake, moyoni amemwacha BWANA" Yeremia 17: 5
Bikira Maria alikuwa mwanadamu kama wewe, alikufa na akaoza tu kama yeyote na kuna kaburi lake huko Israeli. Hivo kumwomba huyo mama ni sawa na kufanya ibada ya wafu!!! That is Biblical.
Umeelewa ndugu yangu Lu-ma-ga!