sammoo
JF-Expert Member
- Aug 11, 2013
- 701
- 1,604
Point of correction bikira Maria Hakufa Na kuzikwa Bali alipaizwa mbinguni.
tupe reference ya maandiko tafadhali
Point of correction bikira Maria Hakufa Na kuzikwa Bali alipaizwa mbinguni.
Unaweza kumuheshimu lakini sio kukiabudu Kama wanavyofanya wakatoliki.Hata Musa na Joshua walitumiwa na Mungu Kama vyombo vya kusafirisha Waisrael kuelekea nchi ya ahadi kwa hiyo waisrael walimsikiliza Musa anD Joshua. Bikira maria alitumika nal Mungu Kama Chombo cha kumzaa Yesu na sis hatuna budi kumheshimu bikira Maria Kama chombo kitakatifu kilichotumiwa na Mungu.
Mkuu naona unajaribu kukuza mambo ya kawaida kabisa. Yeye kuwa na imani na rosary inakupunguzia nini wewe na maisha yako binafsi?. Wale ambao wanakwenda hijja kila mwaka halafu wakirudi majina yao yanaanza na alhaji, wananipunguzia nini mimi binafsi na maisha yangu ya kila siku?.Kama ni sababu za kiroho, zapaswa ziwe rohoni. Yeye ni kiongozi mkuu wa nchi, ambaye anaongoza watu wadini tofauti, na pia watu wasiokuwa na dini, hii itaonyesha upendeleo wa kidini.
Bora angeenda kusali tu kulingana na imani yake, na si kusema kuwa ushind wake uko kwenye rosary - Imaini ya kikatoliki. Je waislamu hawakumpigia kura?
Hivi, maskini,si ndio wanaongoza kwa umaskini!na ndio wanaswali saana!Rosary ina nguvu kubwa sana ndugu yangu.Ukitaka mambo yako yakunyookee sali Rosary.
Singida kuna kuku wa kienyeji,supu yake Mashallah.Sina maana hiyo. Ninacho takakujua ni kwa nini matukio haya mawili ambayo viongozi wa juu wa serikali walishitiki yafanyikie mkoa mmoja tena kwa kufuatana.
Mi nakumbuka hakushinda uchaguzi ila tume ndio ilimushindishaWanaJF, salaamu.
Naomba mwenye kujua kinachoendelea mkoani Singida atujuze. Nimesema hivyo kutokana na mambo mawili ambayo yamejitokeza kwa karibuni kwa kufuatana.
1: Sherehe za Maulid mwaka huu kitaifa zilifanya mkoani Singida, na Waziri mkuu ndiye alikuwa mgeni rasmi.
2. Sherehe za Christmas, siwezi kusema kitaifa, bali Rais alikuwa Singida.
Japo kwa maelezo yake alisema alienda kusali katika kanisa hilo kwani ushindi wake ulitokana na Rosary aliyopewa na mtawa mmoja wa kanisa huko Singida.
Najiuliza hivi kweli hiyo rosary ndiyo iliyompa ushindi au ni watanzania waliompigia kura? Au kuna jambo la siri linaendelea huko?.
Nawasilisha
Mkuu ninayafahamu. Niliwahi kutaka kujiunga na Seminary niwe Padre. Macho yangu yakafunguka.
Najua mbivu na mbichi.
Siandiki tu hivi hivi.
Rais Magufuli akitaka NCHI HII ibarikiwe kweli kweli ASIMAME katika imani ya kweli ya KRISTO Yesu isiyo na UDINI bali wokovu wa kweli.
AKICHANGANYA changanya mara Rozari mara SANAMU nchi hii itaingia katika UMASKINI mkubwa.
Ninajua MADHARA ya kuchanganya Mungu na vitu kama hivyo ni Heri tumwambie mapema kwa heshima kuwa Mzee hiyo si njia nzuri!
Mkuu umeweka mambo mengi sana mara China, India na Mipaka ya Israel, Babylon Jumamosi Russia etcVp kuhusu nchi ya nchina wanaomwabudu Mao na Shaolin!! Wanaumasikin wa ajabu au akili zako ndo za ajabu !?
Vp india wanaoabudu ng'ombe na sanamu zenye mikono kibao sijui krisha sujui nani , wanaumasikini kupindukia!??
Vp Russia ambao 99% nowdays hawasali vp Tanzania mnafurukuta !!
Unataarifa kuwa dola ya BABYLON iliyowatawala Waisrael ndio wachina wa sasa! Vp wamefirisika!?
Eti nilitaka kuwa padre macho ya kafunguka, You know nothing be informed.
Unasherekea pasaka unayopangiwa tarehe na mapadre!! Leave alone xmass.
Unaabudu jmosi ambayo imekuwa-fixed na papa Gregory the great.
Unaisapot Israel ambayo mipaka yake na historical sites zimekuwa restored na RC can you prove how genuine they are to the original ones.
Sali kwa Yesu Kristo na sio rosaryRosary ina nguvu kubwa sana ndugu yangu.Ukitaka mambo yako yakunyookee sali Rosary.
Malumbano ya Hoja ya ITV wiki hii yalikuwa mkoani Singida
Tulishajiokoa wenyewe. Ndio maana iunaona mkoa unaendelea kwa kasi. Watu wa mkoa huu tunajituma usiku na mchana na nna hakika jiji la Singida linakuja na baadae jiji la IRAMBA kwa ajili ya WANYIRAMBASingida wanataka kuokolewa
Unaamini kabisa alishinda?WanaJF, salaamu.
Naomba mwenye kujua kinachoendelea mkoani Singida atujuze. Nimesema hivyo kutokana na mambo mawili ambayo yamejitokeza kwa karibuni kwa kufuatana.
1: Sherehe za Maulid mwaka huu kitaifa zilifanya mkoani Singida, na Waziri mkuu ndiye alikuwa mgeni rasmi.
2. Sherehe za Christmas, siwezi kusema kitaifa, bali Rais alikuwa Singida.
Japo kwa maelezo yake alisema alienda kusali katika kanisa hilo kwani ushindi wake ulitokana na Rosary aliyopewa na mtawa mmoja wa kanisa huko Singida.
Najiuliza hivi kweli hiyo rosary ndiyo iliyompa ushindi au ni watanzania waliompigia kura? Au kuna jambo la siri linaendelea huko?.
Nawasilisha
Mkuu ahsante kwa kuni RATE kuwa ufahamu wangu ni0.00001 katika kulifahamu kanisa katoliki.. Wacha niseme SILAUMU Katoliki per se. Ninachozungumzia ni UPOTOVU wa kiimaniYani kumbe hata seminary hukuenda halafu unajifanya unalijua kanisa katoliki? Mi sasa nimeenda na nikatoka! Ukweli hakuna doctrine yoyote ya ukristo ambayo chimbuko lake si kanisa katoliki. Haya tuanze. Utatu mtakatifu... kanisa katoliki....Umungu wa kristo ...kanisa katoliki....ukusanyaji wa vitabu vya biblia....kanisa katoliki...krismasi na pasaka.... kanisa katoliki. Hata wa israeli wana sema ukatoliki ndo umehadaa ulimwengu kuhusu masihi, kuwa masihi hajaja. Narudia, kanisa katoliki halikuandika biblia bali lilikusanya vitabu vya biblia. Kupitia monasteri za ulaya watawa walitumia maelfu ya ngozi za kondoo kuandika biblia na kupata mkusanyiko wa kwanza "vulgate". Majanga ya asili yanatokea tu hilo la ureno ni cha mtoto kuliko la Japan. Kanisa katoliki haliyumbi katika imani mimi na wewe tunaweza kuhoji imani katoliki lakini kanisa hili ndo moral authoriti ya christendom kwa upande wa magharibi. Unadahani ukisema ulitaka kuwa padre ukafunguka watu watakushobokea kuwa unalijua kanisa? Hata kama ungekuwa padre, askofu, kardinali au hata papa ukaacha, misingi ya kanisa katoliki ni documented haiyumbishwi na maamuzi ya mtu mmoja. Waliacha akina Milingo ndo wewe ambaye hata 0.000001 ya historia na misingi ya kanisa hujui?
Rosary kila kituRosary ina nguvu kubwa sana ndugu yangu.Ukitaka mambo yako yakunyookee sali Rosary.
NdioRosali ndiyo Mungu?
Mungu akubarikiHata Musa na Joshua walitumiwa na Mungu Kama vyombo vya kusafirisha Waisrael kuelekea nchi ya ahadi kwa hiyo waisrael walimsikiliza Musa anD Joshua. Bikira maria alitumika nal Mungu Kama Chombo cha kumzaa Yesu na sis hatuna budi kumheshimu bikira Maria Kama chombo kitakatifu kilichotumiwa na Mungu.
Tume ya uchaguzi pia ina nguvu kubwa. Ningekua mimi mwenyekiti sasa hivi stori ingekua tofautiRosary ina nguvu kubwa sana ndugu yangu.Ukitaka mambo yako yakunyookee sali Rosary.