Nini kinachoendelea Singida?

Nini kinachoendelea Singida?

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ana nyumba mtaa wa Kibaoni Singida, na kwa sasa inafanyiwa ukarabati wa kutosha...kabla hajateuliwa Mkuu wa Wilaya huko Tabora, Majaliwa alikuwa Katibu wa Chama cha Waalimu(CWT) Mkoa wa Singida!
 
PM aliishi singida sana alikuwa mwalimu wangu shuleni sekondari!nimesoma na mtoto wake majaaliwa.kwahiyo msihoji sana
 
Hata Musa na Joshua walitumiwa na Mungu Kama vyombo vya kusafirisha Waisrael kuelekea nchi ya ahadi kwa hiyo waisrael walimsikiliza Musa anD Joshua. Bikira maria alitumika nal Mungu Kama Chombo cha kumzaa Yesu na sis hatuna budi kumheshimu bikira Maria Kama chombo kitakatifu kilichotumiwa na Mungu.

Tunawaheshimu na kuwatambua, lakini HAIWEZEKANI WAKAABUDIWA hao badala ya Mungu muumba wa mbingu na nchi na vyote vilivyomo ndani yake......Mungu huyu mmoja tu!!
 
Bora ameenda singida kujionea palivyo choka, kiwanda cha pamba kimekufa, kiwanda cha unga wa ngano kimekufa, miaka ya nyuma mashamba ya NAFCO yalileta biashara nyingi mjini singida nayo yote yamekufa. Singida imebaki na tuviwanda njaa twa alizeti. Biashara kuu mjini ni ya Uji wa ulezi na kahawa.
 
Kabisa. ...sio kila kitu kiwe Dar Es Salaam tu
 
Hata mafuta ya alizeti yanapatikana singida!! Kuku watam wa kienyeji tunaokula wanatokea singida!!! hata baadhi yenu mmeoa watoto wa singida!!
 
Sina maana hiyo. Ninacho takakujua ni kwa nini matukio haya mawili ambayo viongozi wa juu wa serikali walishitiki yafanyikie mkoa mmoja tena kwa kufuatana.
Angesalia ama Shy au Mwanza agenda ingekuwa ni ukabila sasa ilikuwa Singida napo mnahoji!Maneno ya mimtu mikosaji bwana!L.O.F.A!
 
Hata Musa na Joshua walitumiwa na Mungu Kama vyombo vya kusafirisha Waisrael kuelekea nchi ya ahadi kwa hiyo waisrael walimsikiliza Musa anD Joshua. Bikira maria alitumika nal Mungu Kama Chombo cha kumzaa Yesu na sis hatuna budi kumheshimu bikira Maria Kama chombo kitakatifu kilichotumiwa na Mungu.

Lu-ma-ga,
Let me help you my friend like this. Agano la Kale ilikuwa ni kivuli cha Agano Jipya. Kina Musa walikuwa wakimweleleza Yesu Kristo wakati wa kuwakomboa Wana Israel toka Misri( Utumwani) kuwapeleka nchi ya ahadi Kanani. Yesu Kristo alipokuja kuukomboa Ulimwengu, Mungu aliagiza tumwangalie Yeye pekee kwa ajili ya Wokovu wetu toka dhambini kwa ajili ya kwenda nchi ya ahadi(Mbinguni).
" Kwa maana jinsi hii Mungu aliupenda ulimwengu hata akamtoa mwanawe wa pekee ili kila amwaminiye asipotee baali awe na uzima wa milele" Yohana 3:16.
Bado Biblia inasistiza kwamba,
" Kwa neno au kwa tendo fanyeni kwa Jina la Yesu Kristo"
Wakolosai 3:17.

Hivo basi kujidanganya kuwa Mungu anaweza kusikia maombi ya mtu kupitia Rozali au Bikira Maria ni upotoshaji wa Neno la Mungu. Hayo ni mafundisho ya KIPAGANI ambayo kanisa Katoliki waliyaingiza kanisani kwa interest zao kama ilivyo Krismasi leo hii!
Haya mafundisho hayako mahali popote kwenye Biblia. Hakuna aya imetaja kusali Rozali, hakuna Bikira Maria utuombee wala hakuna Krismasi kuwa Yesu alizaliwa tarehe 25 Desemba mahali popote!!!Mwulize Padre, Kardinali, Askofu au Papa hawana maandiko! That was just Pagan Rome mixed with Christianity in years 320s!
Rozali ni sawa tu na hirzi kama hirizi yoyote. Kamwe Mungu hayuko kwenye ibada za sanamu na watu! Biblia insema,
"Amelaaniwa mtu yule amtegemeaye mwanadamu. Amfanyaye mwanadamu kuwa kinga yake, moyoni amemwacha BWANA" Yeremia 17: 5
Bikira Maria alikuwa mwanadamu kama wewe, alikufa na akaoza tu kama yeyote na kuna kaburi lake huko Israeli. Hivo kumwomba huyo mama ni sawa na kufanya ibada ya wafu!!! That is Biblical.
Umeelewa ndugu yangu Lu-ma-ga!
 
Back
Top Bottom