Mbao za Mawe
JF-Expert Member
- May 11, 2015
- 23,372
- 55,026
Bado unaendelea kuonyesha kila aina ya ushahidi wa kutokifahamu unachokiandika.Mkuu ninayafahamu. Niliwahi kutaka kujiunga na Seminary niwe Padre. Macho yangu yakafunguka.
Najua mbivu na mbichi.
Siandiki tu hivi hivi.
Rais Magufuli akitaka NCHI HII ibarikiwe kweli kweli ASIMAME katika imani ya kweli ya KRISTO Yesu isiyo na UDINI bali wokovu wa kweli.
AKICHANGANYA changanya mara Rozari mara SANAMU nchi hii itaingia katika UMASKINI mkubwa.
Ninajua MADHARA ya kuchanganya Mungu na vitu kama hivyo ni Heri tumwambie mapema kwa heshima kuwa Mzee hiyo si njia nzuri!
Si kweli rosary haina chochote na haipaswi kuabudiwa wala kupewa sifa ya kiuwa na nguvu kabisa na wala hatusali rosary ni mungu pekee ndie hujibu ombi la mtiRosary ina nguvu kubwa sana ndugu yangu.Ukitaka mambo yako yakunyookee sali Rosary.
Phillipo Bukililo. UMEJIJIBU mwenyewe. Mwalimu tunamshukuru kwa kutuletea uhuru. Lakini lazima uelewe hayo ndo mambo yaliyoifanya Tanzania kuwa ni kama nchi iliyolaaniwa vile.Bado unaendelea kuonyesha kila aina ya ushahidi wa kutokifahamu unachokiandika.
Kwa taarifa yako suala la rozari hakulianza yeye. Mwalimu JKN aliikabidhi nchi kwa Mama Maria mwaka 1961. Mwalimu huyo huyo alifanya mambo fulani na waislam wa Dar katika kuipatia nchi ulinzi.
Unapoambiwa nchi haina dini ila watanzania mmoja mmoja wana dini zao ni lazima ujue maana ya hayo maneno kwa undani.
Rozari na sanamu ambazo wewe unaziongelea kwa kejeli, huzifahamu na kama ulisoma seminari basi ulikuwepo kimwili tu shuleni lakini akili yako wala haikuwa kule.
Mimi ni mkatoliki, ninayajua hayo mambo kwa undani. Na sio kwamba Mungu anachanganywa, Mungu wa kweli anaweza kutafsiriwa na kila mtu kwa kadri ya malezi yake kiimani. Mungu wa kweli wa kwako wewe sio lazima awe wa kwangu mimi.
Kuna watu wanamwamini sana TB Joshua, Kakobe, Rwakatare, Mwingira, Lusekelo nk kuliko Bikira Maria. Inawezekana wewe ni mmojawapo, watu mnaoamini miujiza tuuNinajua sana hata nilitaka niwe Padre niingie Seminary.
Lakini kabla sijajiunga macho yangu yakafunguka!
Siku zote usijipe uhalali kwenye mambo ya kiroho, ni kosa kubwa sana. Kwa sababu kila anayejiona anayajua mambo ya kiimani atataka asikilizwe na apewe kipaumbe.Phillipo Bukililo. UMEJIJIBU mwenyewe. Mwalimu tunamshukuru kwa kutuletea uhuru. Lakini lazima uelewe hayo ndo mambo yaliyoifanya Tanzania kuwa ni kama nchi iliyolaaniwa vile.
UNAPOIKABIDHI nchi kwa miungu,Basi nchi hiyo huwa haiendelei. Angalia MEXICO na UFILIPINO na nchi za Latin Amerika ni maskini vibaya sana. Na ukumbuke hawa ni WATU WA ROZARI kutuzidi sisi hapa. Huko Mexico MARIA wanamwita BLACK MADONNA.
Basi kulingana na jibu lako Tanzania ilikabidhiwa kwa miungu. Ndo maana tunafanya mambo ya ajabu ajabu.ikiwa ni pamoja na IMANI za Kishirikina, Kila mahali MIJINI ,matangazo ya WAGANGA wa KIENYEJI-wanaodai wana majibu ya kila kitu.
Na SIJASIKIA hata Rais wetu AKISIMAMA KIDETE na KUKEMEA. Basi taifa tuna shida!
Dini tunazo na hazijatubadilisha. Ni Yesu peke yake huleta mabadiliko moyoni na si MISA KILA SIKU ama IBADA ya mchungaji ama Padre.
Ni Yesu tu. Ambaye ni ALFA na Omega/Mwanzo na Mwisho. Mengine haya ni maigizo ya dini!
Rosary ina nguvu kubwa sana ndugu yangu.Ukitaka mambo yako yakunyookee sali Rosary.
Siku zote usijipe uhalali kwenye mambo ya kiroho, ni kosa kubwa sana. Kwa sababu kila anayejiona anayajua mambo ya kiimani atataka asikilizwe na apewe kipaumbe.
Ni Mungu gani ambaye afuatwe ili haya mambo ya Mama Maria yaonekane ni chanzo kweli cha laana?. Ukiwa mvivu utakuwa masikini, ukikosa ubunifu utakuwa masikini tu. Ukikosa mpango mkakati wa kitaifa unaotekelezea obvious utakuwa lofa tu.
Wahindi wanaabudu ng'ombe kabisa, na bado kwa miaka mingi tumekuwa tunawapelekea mioyo yetu waweze kuitibu. Hata Mama Maria hawamjui, na hawana hiyo unayoita laana, ambayo pia huifahamu kwa sababu unaongea vitu vya kusikia kijiweni ukiwa umekaa na marafiki zako.
Nchi haina dini, kesho asubuhi anzisha dhehebu lako na upate wafuasi nobody will touch you as long as you are not intending to break all laws of the land.
Rozari huijui, nguvu iliyo kwenye Rozari huifahamu, ushahidi upo mwingi tu ndani ya nguvu ya sala hii.
Kama ni laana basi Yesu alisema ulimwengu huu sio wa kwangu, na ni ulimwengu wote, sio wa wale wanaosali ibada za aina fulani.
Fanya kazi kwa bidii matunda utayaona, Mungu habagui ndio maana nimekupa mfano wa India ambapo watu wanaabudu wanyama na sisi tunawapelekea miili yetu waitibu. Kuna Japan, China na nchi nyingine za Asia hawamjui Mungu yule tunayemjua lakini mbona uchumi wao unastawi mwaka baada ya mwaka?.
Siku ni kiretire/ Staafu ningependa nihubiri neno la Mungu.Siku zote usijipe uhalali kwenye mambo ya kiroho, ni kosa kubwa sana. Kwa sababu kila anayejiona anayajua mambo ya kiimani atataka asikilizwe na apewe kipaumbe.
Ni Mungu gani ambaye afuatwe ili haya mambo ya Mama Maria yaonekane ni chanzo kweli cha laana?. Ukiwa mvivu utakuwa masikini, ukikosa ubunifu utakuwa masikini tu. Ukikosa mpango mkakati wa kitaifa unaotekelezea obvious utakuwa lofa tu.
Wahindi wanaabudu ng'ombe kabisa, na bado kwa miaka mingi tumekuwa tunawapelekea mioyo yetu waweze kuitibu. Hata Mama Maria hawamjui, na hawana hiyo unayoita laana, ambayo pia huifahamu kwa sababu unaongea vitu vya kusikia kijiweni ukiwa umekaa na marafiki zako.
Nchi haina dini, kesho asubuhi anzisha dhehebu lako na upate wafuasi nobody will touch you as long as you are not intending to break all laws of the land.
Rozari huijui, nguvu iliyo kwenye Rozari huifahamu, ushahidi upo mwingi tu ndani ya nguvu ya sala hii.
Kama ni laana basi Yesu alisema ulimwengu huu sio wa kwangu, na ni ulimwengu wote, sio wa wale wanaosali ibada za aina fulani.
Fanya kazi kwa bidii matunda utayaona, Mungu habagui ndio maana nimekupa mfano wa India ambapo watu wanaabudu wanyama na sisi tunawapelekea miili yetu waitibu. Kuna Japan, China na nchi nyingine za Asia hawamjui Mungu yule tunayemjua lakini mbona uchumi wao unastawi mwaka baada ya mwaka?.
Na Mungu atakuongoza, na mahubiri yako yatawafikia walio wengi. Kila la kheri mkuu.Siku ni kiretire/ Staafu ningependa nihubiri neno la Mungu.
Si lazima nianzishe dhehebu!
Basi mwambie babako Lowasa aende ikuluHakuna cha rozari hapa. Magu hakushinda uchaguzi. Wameulazimisha ushindi kwa kuiba kura. Hililo jambo lisitoke mioyoni mwenu wenye kujitambua.
Hatuna haja ya kuwataja majina yao maana hawako hapa kujitetea.Kuna watu wanamwamini sana TB Joshua, Kakobe, Rwakatare, Mwingira, Lusekelo nk kuliko Bikira Maria. Inawezekana wewe ni mmojawapo, watu mnaoamini miujiza tuu
Ahsante mkuu. Ni maongezi na kubadilishana mawazo.Na Mungu atakuongoza, na mahubiri yako yatawafikia walio wengi. Kila la kheri mkuu.
Nakushauri Kwa kuwa ni jambo la imani au faith. Usitumie effort kubwa kujadili Kwa kuwa imani zenu ni tofauti. Kitu imani sio easy kuchange. Pole sana bwana wewe. Yawezekana unalojua ni sahihi au sio sahihi. Coz elimu wote tunapata hapa duanianiHapo Magufuli amekosea sana.Naiheshimu IMANI yake.
Lakini kuhusisha MARIA, ROSARY katika ushindi wake, ni sawa na kusema Mungu hakukusaidia bali MARIA na ROSARY.
Maria alikufa na AKAZIKWA na biblia HAITUAMBII tumwombe Maria.
Na kama Magufuli UTAMSAHAU Mungu na KUCHANGANY MARIA! Mungu na YESU nchi hii itamshinda.
Maana Mungu HADHIHAKIWI!!
Maana pia ni Mungu MWENYE WIVU
MPE MUNGU UTUKUFU!
Mkuu amesali krismas Singida kwa madai yake ndiko alikopewa rozari na masista. Rozari ambayo anaitumia mpaka leo kwenye sala zake binafsi.
Ni sababu ya kiroho zaidi sio kisiasa. Anaamini kwa kusali Singida anakuwa amewaheshimu wale masista waliompa rozari na kusali nae akiwa kwenye kampeni.
Vp kuhusu nchi ya nchina wanaomwabudu Mao na Shaolin!! Wanaumasikin wa ajabu au akili zako ndo za ajabu !?Mkuu ninayafahamu. Niliwahi kutaka kujiunga na Seminary niwe Padre. Macho yangu yakafunguka.
Najua mbivu na mbichi.
Siandiki tu hivi hivi.
Rais Magufuli akitaka NCHI HII ibarikiwe kweli kweli ASIMAME katika imani ya kweli ya KRISTO Yesu isiyo na UDINI bali wokovu wa kweli.
AKICHANGANYA changanya mara Rozari mara SANAMU nchi hii itaingia katika UMASKINI mkubwa.
Ninajua MADHARA ya kuchanganya Mungu na vitu kama hivyo ni Heri tumwambie mapema kwa heshima kuwa Mzee hiyo si njia nzuri!
Kwani singida sio Tanzania kingine yy ameshakwambia alienda kweny ibada tn kwa sababu fulani ww bado hutosheki bc tuambie ww alienda kufanya nn hkSina maana hiyo. Ninacho takakujua ni kwa nini matukio haya mawili ambayo viongozi wa juu wa serikali walishitiki yafanyikie mkoa mmoja tena kwa kufuatana.