[quote uid=18182 name="Ulimbo" post=19042382]<b>Kama ni sababu za kiroho, zapaswa ziwe rohoni. Yeye ni kiongozi mkuu wa nchi, ambaye anaongoza watu wadini tofauti, na pia watu wasiokuwa na dini, hii itaonyesha upendeleo wa kidini.<br />Bora angeenda kusali tu kulingana na imani yake, na si kusema kuwa ushind wake uko kwenye rosary - Imaini ya kikatoliki. Je waislamu hawakumpigia kura?</b>[/QUOTE]<br />Mkuu naona unajaribu kukuza mambo ya kawaida kabisa. Yeye kuwa na imani na rosary inakupunguzia nini wewe na maisha yako binafsi?. Wale ambao wanakwenda hijja kila mwaka halafu wakirudi majina yao yanaanza na alhaji, wananipunguzia nini mimi binafsi na maisha yangu ya kila siku?.<br />Kuongoza watu wa imani tofauti hakumzuii rais kuwa na haki ya kuamini kile anachokiamini, japo ni mambo ya rohoni mwake.<br />Tumelelewa katika misingi ya kuchukuliana kibinadamu huku tukiheshimu anacho amani mtu fulani. N