Samaki aliyeufunga mdomo wake huikwepa ndoano.WanaJF, salaamu.
Naomba mwenye kujua kinachoendelea mkoani Singida atujuze. Nimesema hivyo kutokana na mambo mawili ambayo yamejitokeza kwa karibuni kwa kufuatana.
1: Sherehe za Maulid mwaka huu kitaifa zilifanya mkoani Singida, na Waziri mkuu ndiye alikuwa mgeni rasmi.
2. Sherehe za Christmas, siwezi kusema kitaifa, bali Rais alikuwa Singida.
Japo kwa maelezo yake alisema alienda kusali katika kanisa hilo kwani ushindi wake ulitokana na Rosary aliyopewa na mtawa mmoja wa kanisa huko Singida.
Najiuliza hivi kweli hiyo rosary ndiyo iliyompa ushindi au ni watanzania waliompigia kura? Au kuna jambo la siri linaendelea huko?.
Nawasilisha
Nani amuheshimu?. Tofautisha kumuheshimu mtu na kumwabudu ama kumfanya sehemu ya ibada hasa hasa karibu na Mungu au kuwa juu ya Mungu mfano kumfanya muombezi ambacho ni kinyume na Neno la Mungu. Hivi umewahi kujiuliza kwa nini Musa alizikwa Mungu na kaburi lake hakuna ajuaye lilipo?. Mungu aliwaona watu kama nyinyi mapema.Hata Musa na Joshua walitumiwa na Mungu Kama vyombo vya kusafirisha Waisrael kuelekea nchi ya ahadi kwa hiyo waisrael walimsikiliza Musa anD Joshua. Bikira maria alitumika nal Mungu Kama Chombo cha kumzaa Yesu na sis hatuna budi kumheshimu bikira Maria Kama chombo kitakatifu kilichotumiwa na Mungu.
Mkuu amesali krismas Singida kwa madai yake ndiko alikopewa rozari na masista. Rozari ambayo anaitumia mpaka leo kwenye sala zake binafsi.WanaJF, salaamu.
Naomba mwenye kujua kinachoendelea mkoani Singida atujuze. Nimesema hivyo kutokana na mambo mawili ambayo yamejitokeza kwa karibuni kwa kufuatana.
1: Sherehe za Maulid mwaka huu kitaifa zilifanya mkoani Singida, na Waziri mkuu ndiye alikuwa mgeni rasmi.
2. Sherehe za Christmas, siwezi kusema kitaifa, bali Rais alikuwa Singida.
Japo kwa maelezo yake alisema alienda kusali katika kanisa hilo kwani ushindi wake ulitokana na Rosary aliyopewa na mtawa mmoja wa kanisa huko Singida.
Najiuliza hivi kweli hiyo rosary ndiyo iliyompa ushindi au ni watanzania waliompigia kura? Au kuna jambo la siri linaendelea huko?.
Nawasilisha
Mambo mengine sio lazima uyatolee maoni. Tafuta watu waliokuzidi kwenye masuala ya imani halafu wape nafasi ya kukuelimisha kiroho. Itakusaidia sana, na hautajiandikia mambo usiyoyafahamu kama ulivyofanya kwenye huu uzi.Hapo Magufuli amekosea sana.Naiheshimu IMANI yake.
Lakini kuhusisha MARIA, ROSARY katika ushindi wake, ni sawa na kusema Mungu hakukusaidia bali MARIA na ROSARY.
Maria alikufa na AKAZIKWA na biblia HAITUAMBII tumwombe Maria.
Na kama Magufuli UTAMSAHAU Mungu na KUCHANGANY MARIA! Mungu na YESU nchi hii itamshinda.
Maana Mungu HADHIHAKIWI!!
Maana pia ni Mungu MWENYE WIVU
MPE MUNGU UTUKUFU!
Hizo ni shanga tu kama za kiunoniUnamfundisha padre kusali na kumfahamu Mungu?? Pole sana kwakuwa hufahamu rozari ni kitu gani.
Toa andiko , maria alipalizwa wap?ni uongo wa mapadriPoint of correction bikira Maria Hakufa Na kuzikwa Bali alipaizwa mbinguni.
Upagan tuNi mnyororo Mtamu sana unaomuunganisha mwanadamu na Mungu wake anaposali. Anapanda kufuatana na hizo kete anaposali . kutoka karne moja hadi nyingine. Karibu ujifunze nawe utakuwa karibu na Mungu wako na mafanikio ya kuwa karibu naye utayaona na utatusimulia. Mungu awe nawe upate kuwa karibu naye uweze kuhubiri Amani ndani ya familia zetu na hata Taifa zima.
Umeo singida??City boys ziligongana singida pia na mimi nimeoa singida
Mkuu ninayafahamu. Niliwahi kutaka kujiunga na Seminary niwe Padre. Macho yangu yakafunguka.Mambo mengine sio lazima uyatolee maoni. Tafuta watu waliokuzidi kwenye masuala ya imani halafu wape nafasi ya kukuelimisha kiroho. Itakusaidia sana, na hautajiandikia mambo usiyoyafahamu kama ulivyofanya kwenye huu uzi.
unaenda kupga papuchi mkuuuNa mimi nitakua singida wiki hii
Mkuu Farudume. Kwanza kabisa napenda post zako. Nitakujibu hivi,Ukitaka kuijua Historia ya Kanisa Katoliki soma kuanzia Karne ya kwanza sio kuanzia mwaka 1854.
Hili ni Kanisa Takatifu Katoliki la Mitume na Papa wake wa Kwanza ni Mtakatifu Petro ambaye alikabidhiwa majukumu hayo na Yesu Kristo.
Kanisa lilivunjavunja imani za himaya ya kirumi na wengi wao walimkubali Yesu kuwa ni Masiha hivyo wakabatizwa wakiwemo vigogo wa dola hiyo.Hayo mambo sio mageni na yapo hata leo.
Kama unaiamini Biblia lazima ulikubali na Kanisa Katoliki kwa sababu ndilo lililofanya jitihada za kukusanya machapisho mbalimbali na kuyakubali baadhi na mengine kuyatupa.waliyoyakubali waliyaweka pamoja kama kitabu ambacho Kinajulikana kama Biblia(Maktaba).
Kuhusu Bikira Maria,Kwa Mtu yeyote anayemkubali kwamba Yesu ni Mungu haoni shaka ya kumheshimu Bikira Maria maana hata Malaika wa Mbinguni wanamkubali.
Coincidences do happen in life !Sina maana hiyo. Ninacho takakujua ni kwa nini matukio haya mawili ambayo viongozi wa juu wa serikali walishitiki yafanyikie mkoa mmoja tena kwa kufuatana.