Nini kinachoendelea Singida?

Nini kinachoendelea Singida?

Bora waje na huku kwetu aisee. Niko singida na hapa ndio kwetu, acha aje afungue fursa kwa singida yetu.
Sio kila siku Dar tu!
 
Lu-ma-ga,
Let me help you my friend like this. Agano la Kale ilikuwa ni kivuli cha Agano Jipya. Kina Musa walikuwa wakimweleleza Yesu Kristo wakati wa kuwakomboa Wana Israel toka Misri( Utumwani) kuwapeleka nchi ya ahadi Kanani. Yesu Kristo alipokuja kuukomboa Ulimwengu, Mungu aliagiza tumwangalie Yeye pekee kwa ajili ya Wokovu wetu toka dhambini kwa ajili ya kwenda nchi ya ahadi(Mbinguni).
" Kwa maana jinsi hii Mungu aliupenda ulimwengu hata akamtoa mwanawe wa pekee ili kila amwaminiye asipotee baali awe na uzima wa milele" Yohana 3:16.
Bado Biblia inasistiza kwamba,
" Kwa neno au kwa tendo fanyeni kwa Jina la Yesu Kristo"
Wakolosai 3:17.

Hivo basi kujidanganya kuwa Mungu anaweza kusikia maombi ya mtu kupitia Rozali au Bikira Maria ni upotoshaji wa Neno la Mungu. Hayo ni mafundisho ya KIPAGANI ambayo kanisa Katoliki waliyaingiza kanisani kwa interest zao kama ilivyo Krismasi leo hii!
Haya mafundisho hayako mahali popote kwenye Biblia. Hakuna aya imetaja kusali Rozali, hakuna Bikira Maria utuombee wala hakuna Krismasi kuwa Yesu alizaliwa tarehe 25 Desemba mahali popote!!!Mwulize Padre, Kardinali, Askofu au Papa hawana maandiko! That was just Pagan Rome mixed with Christianity in years 320s!
Rozali ni sawa tu na hirzi kama hirizi yoyote. Kamwe Mungu hayuko kwenye ibada za sanamu na watu! Biblia insema,
"Amelaaniwa mtu yule amtegemeaye mwanadamu. Amfanyaye mwanadamu kuwa kinga yake, moyoni amemwacha BWANA" Yeremia 17: 5
Bikira Maria alikuwa mwanadamu kama wewe, alikufa na akaoza tu kama yeyote na kuna kaburi lake huko Israeli. Hivo kumwomba huyo mama ni sawa na kufanya ibada ya wafu!!! That is Biblical.
Umeelewa ndugu yangu Lu-ma-ga!
Hivi unajua maana ya imani, nipe ushahidi kwamba kile unachoamini wewe ni kweli tupu kuliko wanachoamini wengine. Usilete habari za mambo ambayo umeaminishwa na watu na haujui hata yalitoka wapi. Heshimu imani yako na ya watu wengine, kama kufa wote twafa, kuishi wote tunaishi na mafanikio au matatizo sote tunapitia. Heshimu imani ya mwenzio kwani yote haya ni mafumbo na hakuna anayejua siri ya fumbo hili la imani.
 
Unamfundisha padre kusali na kumfahamu Mungu?? Pole sana kwakuwa hufahamu rozari ni kitu gani.
Huna haja ya kumshambulia mama yetu wa kiimani wala Rosary!!!Pambana kwa hoja ili kumjibu mtoa mada!!.
Bikira Maria na Rosary kwetu kama wakatoliki ni vitu visivyobishaniwa hata mara moja.
 
Kwa hiyo na wewe unatuaminisha kuwa Rosary ndio iliyo mpa ushindi sio kura za watanzania???????????
Ndiyo inawezekana kutokana na imani yake. Hata wewe mafanikio na uhai wako kuna kitu unakiamini ndicho kinacho kusaidia halikadhalika mh. anaamini mafanikio Katika maisha yake yametokana na hilo analoamini, heshimu imani ya mwenzio. Imani ni fumbo la siri na hakuna mwanadamu anayeweza kulifumbua.
 
Kwa Imani ya katoliki ni wazi kabisa bikra Maria alipalizwa Mbinguni na si vinginevyo. Sidhani kama Mh Raisi amewatangazia uma wa Watanzania au Dunia kwamba anamdhihaki Mungu, naona ni wewe ndiyo unampandikizia maneno mdomoni mwake. Biblia ni maneno yake Mungu kwetu sisi wanadamu usipende yabadilisha Isome uelewe kama huelewi uliza na Mungu atakufungulia uelewe. Heri Ya Xmass na Heri ya Mwaka mpya. Nakutakiwa mafanikio mema ya Kiroho na mwili.
Mimi sizungumzii imani ya KIKATOLIKI nazungumzia UONGO uliopandikizwa vichwani na mioyoni mwa watu. Basi kwa kuwa umetaja KATOLIKI basi nitakusaidia. Yesu Kristo HAKUACHA kanisa Katoliki aliacha kanisa la mitume waliohubiri neno sahihi la Mungu. Roman Empire iliposhamiri na mtawala Constantine ili afaidike kisiasa akasema naye sasa amekuwa Mkristo. Lakini bado alikuwa ni miungu yake akiiabudu. Mojawapo ni mungu JUA. Roman Katoliki ni mchanganyiko wa mambomatatu

Mkuu sina ubaya ila soma historia ya Pope Pius1X mwaka wa1854 aliyeanza hayo mafundisho ya Maria kupaa nk na kuwa ni Co Saviour/Mwokozi pamoja na Yesu.
Utashangaa
 
Au ni Ili kutafuta namna ya kuishi Muda mrefu Kama Mzee Mwinyi, hivi aliongozana na Janet!
 
Ndiyo inawezekana kutokana na imani yake. Hata wewe mafanikio na uhai wako kuna kitu unakiamini ndicho kinacho kusaidia halikadhalika mh. anaamini mafanikio Katika maisha yake yametokana na hilo analoamini, heshimu imani ya mwenzio. Imani ni fumbo la siri na hakuna mwanadamu anayeweza kulifumbua.

Sema Sasa,
Only Believe in God and not otherwise!
Hivo vitu unakomaa navyo mzee kiimani havikufikishi popote. Ati mafanikio na uhai yanatokana na mtu kuwa na imani na kitu kinachosaidia!!!!!????Kweli????
Basi kama ni hivyo Yesu Kristo alikuja kufanya nini? Kama mtu anaweza kuamini Rozali, Bikira Maria, Tasbihi,Hirizi n.k na zikamsaidia kama ni kweli basi huyo kwa Mungu hana nafasi!
 
Hata Musa na Joshua walitumiwa na Mungu Kama vyombo vya kusafirisha Waisrael kuelekea nchi ya ahadi kwa hiyo waisrael walimsikiliza Musa anD Joshua. Bikira maria alitumika nal Mungu Kama Chombo cha kumzaa Yesu na sis hatuna budi kumheshimu bikira Maria Kama chombo kitakatifu kilichotumiwa na Mungu.
bikira Maria alizaa watoto wengine baada ya kukutana na Yusufu kimwili... Nani anasala ya Musa.... Upagani tu
 
Karibuni singida Wakuu. Niulize lolote kuhusu mkoa wangu WA singida nitakujibu kupitia hii thread
 
jamii forum ina faida kubwa sana.
ila hasara yake ni pale mtu anapouliza kitu kigumu (kama hiyo mada hapo juu ) alafu members ( great thinkers ) wanakuja na vijibu vyao virahisii rahisi bila ata ya meditation yani hapo nachokaga sana akili yangu
 
Ndiyo inawezekana kutokana na imani yake. Hata wewe mafanikio na uhai wako kuna kitu unakiamini ndicho kinacho kusaidia halikadhalika mh. anaamini mafanikio Katika maisha yake yametokana na hilo analoamini, heshimu imani ya mwenzio. Imani ni fumbo la siri na hakuna mwanadamu anayeweza kulifumbua.
Nahem sana Imani ya kila mtu ila kwa hili sipo nalo sambamba mfano mzuri kama asingepitia kwenye kanisa Hilo hapo singida na kupewa hiyo Rosary na sister Leo angekuwa sio Raisi wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania???????????
 
Mimi sizungumzii imani ya KIKATOLIKI nazungumzia UONGO uliopandikizwa vichwani na mioyoni mwa watu. Basi kwa kuwa umetaja KATOLIKI basi nitakusaidia. Yesu Kristo HAKUACHA kanisa Katoliki aliacha kanisa la mitume waliohubiri neno sahihi la Mungu. Roman Empire iliposhamiri na mtawala Constantine ili afaidike kisiasa akasema naye sasa amekuwa Mkristo. Lakini bado alikuwa ni miungu yake akiiabudu. Mojawapo ni mungu JUA. Roman Katoliki ni mchanganyiko wa mambomatatu

Mkuu sina ubaya ila soma historia ya Pope Pius1X mwaka wa1854 aliyeanza hayo mafundisho ya Maria kupaa nk na kuwa ni Co Saviour/Mwokozi pamoja na Yesu.
Utashangaa

Ukitaka kuijua Historia ya Kanisa Katoliki soma kuanzia Karne ya kwanza sio kuanzia mwaka 1854.
Hili ni Kanisa Takatifu Katoliki la Mitume na Papa wake wa Kwanza ni Mtakatifu Petro ambaye alikabidhiwa majukumu hayo na Yesu Kristo.
Kanisa lilivunjavunja imani za himaya ya kirumi na wengi wao walimkubali Yesu kuwa ni Masiha hivyo wakabatizwa wakiwemo vigogo wa dola hiyo.Hayo mambo sio mageni na yapo hata leo.
Kama unaiamini Biblia lazima ulikubali na Kanisa Katoliki kwa sababu ndilo lililofanya jitihada za kukusanya machapisho mbalimbali na kuyakubali baadhi na mengine kuyatupa.waliyoyakubali waliyaweka pamoja kama kitabu ambacho Kinajulikana kama Biblia(Maktaba).
Kuhusu Bikira Maria,Kwa Mtu yeyote anayemkubali kwamba Yesu ni Mungu haoni shaka ya kumheshimu Bikira Maria maana hata Malaika wa Mbinguni wanamkubali.
 
Wacha upumbavu Rosary ndio mungu wenu???? Mbona mnapenda kuabudu masanamu

Acha Jazba.Imani ni kitu kizito na binafsi.
Wengine wanaabudu mpaka ng'ombe.
Binafsi naiamini sana Rozary kwa sababu inatenda Miujiza Mingi kupitia Bikira Maria ambaye ni Mama wa Mungu.
Kama una Matatizo yasiyotatulika jitahidi kusali Rozari utaona matunda yake.
 
Nahem sana Imani ya kila mtu ila kwa hili sipo nalo sambamba mfano mzuri kama asingepitia kwenye kanisa Hilo hapo singida na kupewa hiyo Rosary na sister Leo angekuwa sio Raisi wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania???????????

Mimi naamini kabisa urais wake umetokana na kusali Rozari.Nilikuwa sijapata jibu ni kwa jinsi gani alivyoweza kupenya katika Kamati kuu ya CCM na Baadae Halmashauri kuu ya CCM na kuwapita wababe wa chama.
 
Hii ni Imani na kila mtu ana Imani yake amini hivyo but kwa mimi hii haiweizi hata kidogo kuniingia akilini hata kufikiria kuiamni
 
MKOA singida ndiyo mkoa uilio katikati ya nchi.Singida inapitiwa na barabara kuu za kuunganisha mikoa yote inayopakana nayo.
 
Back
Top Bottom