Hata mafuta ya alizeti yanapatikana singida!! Kuku watam wa kienyeji tunaokula wanatokea singida!!! hata baadhi yenu mmeoa watoto wa singida!!



Kwa hyo mtoa mada unatakaje labda
Hapo pa kuoa Singida umenipiga bao kwa maana watoto wa Singida ni moto wa kuotea mbali!!City boys ziligongana singida pia na mimi nimeoa singida
Mkuu hata mie ikifikia kwenye MARIA na Rozari huwa siwaelewi Wakatoliki,Hapo Magufuli amekosea sana.Naiheshimu IMANI yake.
Lakini kuhusisha MARIA, ROSARY katika ushindi wake, ni sawa na kusema Mungu hakukusaidia bali MARIA na ROSARY.
Maria alikufa na AKAZIKWA na biblia HAITUAMBII tumwombe Maria.
Na kama Magufuli UTAMSAHAU Mungu na KUCHANGANY MARIA! Mungu na YESU nchi hii itamshinda.
Maana Mungu HADHIHAKIWI!!
Maana pia ni Mungu MWENYE WIVU
MPE MUNGU UTUKUFU!
Nimeoa kwa muda punde anarudi kwaoHapo pa kuoa Singida umenipiga bao kwa maana watoto wa Singida ni moto wa kuotea mbali!!
Wanawaka na watamu ile mbaya!!!
Kwa hiyo na wewe unatuaminisha kuwa Rosary ndio iliyo mpa ushindi sio kura za watanzania???????????Rosary ina nguvu kubwa sana ndugu yangu.Ukitaka mambo yako yakunyookee sali Rosary.
Na wanagawa si polepole,mtaa mzima unamjua mpk chunusi aliyonayo chini ya tako.Hatari sanaHapo pa kuoa Singida umenipiga bao kwa maana watoto wa Singida ni moto wa kuotea mbali!!
Wanawaka na watamu ile mbaya!!!
Hata mm mwezi huu nimepita mkoani singidaMalumbano ya Hoja ya ITV wiki hii yalikuwa mkoani singida
Ni mnyororo Mtamu sana unaomuunganisha mwanadamu na Mungu wake anaposali. Anapanda kufuatana na hizo kete anaposali . kutoka karne moja hadi nyingine. Karibu ujifunze nawe utakuwa karibu na Mungu wako na mafanikio ya kuwa karibu naye utayaona na utatusimulia. Mungu awe nawe upate kuwa karibu naye uweze kuhubiri Amani ndani ya familia zetu na hata Taifa zima.Rosali ndiyo Mungu?
Kwa Imani ya katoliki ni wazi kabisa bikra Maria alipalizwa Mbinguni na si vinginevyo. Sidhani kama Mh Raisi amewatangazia uma wa Watanzania au Dunia kwamba anamdhihaki Mungu, naona ni wewe ndiyo unampandikizia maneno mdomoni mwake. Biblia ni maneno yake Mungu kwetu sisi wanadamu usipende yabadilisha Isome uelewe kama huelewi uliza na Mungu atakufungulia uelewe. Heri Ya Xmass na Heri ya Mwaka mpya. Nakutakiwa mafanikio mema ya Kiroho na mwili.Hapo Magufuli amekosea sana.Naiheshimu IMANI yake.
Lakini kuhusisha MARIA, ROSARY katika ushindi wake, ni sawa na kusema Mungu hakukusaidia bali MARIA na ROSARY.
Maria alikufa na AKAZIKWA na biblia HAITUAMBII tumwombe Maria.
Na kama Magufuli UTAMSAHAU Mungu na KUCHANGANY MARIA! Mungu na YESU nchi hii itamshinda.
Maana Mungu HADHIHAKIWI!!
Maana pia ni Mungu MWENYE WIVU
MPE MUNGU UTUKUFU!
Kwa hiyo na wewe unatuaminisha kuwa Rosary ndio iliyo mpa ushindi sio kura za watanzania???????????
Hapo Magufuli amekosea sana.Naiheshimu IMANI yake.
Lakini kuhusisha MARIA, ROSARY katika ushindi wake, ni sawa na kusema Mungu hakukusaidia bali MARIA na ROSARY.
Maria alikufa na AKAZIKWA na biblia HAITUAMBII tumwombe Maria.
Na kama Magufuli UTAMSAHAU Mungu na KUCHANGANY MARIA! Mungu na YESU nchi hii itamshinda.
Maana Mungu HADHIHAKIWI!!
Maana pia ni Mungu MWENYE WIVU
MPE MUNGU UTUKUFU!
Niambie nikitu gani kinakuaminisha kwamba imani yako inanguvu kuliko imani ya mwingine? Acha upuuzi hauna ushahidi wowote wa hayo unayo amini kama ni kweli au sio kweli halafu unapinga imani ya mwenzako halafu hata kimafanikio kakuzidi.Tunawaheshimu na kuwatambua, lakini HAIWEZEKANI WAKAABUDIWA hao badala ya Mungu muumba wa mbingu na nchi na vyote vilivyomo ndani yake......Mungu huyu mmoja tu!!